Daily Archives: January 3, 2020

Mama Kabendera aagwa, kuzikwa Jumatatu Bukoba

MWILI wa Verdiana Mujwahuzi, Mama wa Mwanahabari Erick Kabendera, leo tarehe 3 Januari 2020, umeagwa katika Kanisa Katoliki la Mt. Francis Xavier, Chang’ombe jijini Dar es Salaam. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). ...

Read More »

Kifo cha Mama Kabendera: Chadema wamtumia ujumbe Rais Magufuli

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemuomba Rais John Magufuli kumwacha huru Mwanaharakati Erick Kabendera, ili kuifuta machozi familia yake kufuatia kifo cha mama yake Verdiana Mujwahuzi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).  ...

Read More »

Ujumbe mzito wa Kabendera baada ya kuzuiwa kumzika mama yake

ERICK Kabendera, Mwanahabari aliyeko Mahabusu katika Gereza la Segerea jijini Dar es salaam, ametoa ujumbe mzito kufuatia kuzuiwa kutoa heshima za mwisho, kwa Marehemu Mama yake, Verdiana Mujwahuzi. Anaripoti Regina ...

Read More »

Polisi Tabora kuwasaka watu wanaotaka kujinyonga

JESHI la Polisi mkoani Tabora limesema litafanya doria ya kuwabaini watu wanaotaka kujinyonga, kisha kuwafikisha mahakamani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Barnabas Mwakalukwa, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani humo, ...

Read More »
error: Content is protected !!