Daily Archives: December 2, 2019

Prof. Safari: Bila tume huru, ni vigumu kuingia Ikulu

PROF. Abdallah Safari, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amedai kuwa vyama vya upinzani nchini, haviwezi kuingia Ikulu, bila kuwapo tume huru ya uchaguzi. Anaripoti Faki Sosi … ...

Read More »

Ni kazi kubwa kutenda haki – Ally Hapi

ALLY Hapi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa amesema, kazi kubwa zaidi katika uongozi hasa wa kuteuliwa ni kutenda haki. Anaripoti Hamis Mguta, Iringa … (endelea). Hapi ametoa kauli hiyo leo tarehe ...

Read More »

Msigwa amtumia ‘Yesu’ kujitetea kortini 

PETER Msigwa, Mbunge wa Iringa mjini, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwamba amefunguliwa mashitaka ya uongo kama ilivyokuwa kwa Yesu Kristo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). ...

Read More »

Dovutwa ang’olewa UPDP 

FAHMI Dovutwa, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha UPDP, ameondolewa kwenye nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Imeelezwa, Dovutwa ameng’olewa kwenye nafasi hiyo kwa madai, alikitoa chama hicho katika kushiriki wa ...

Read More »

Lukuvi amtumbua Mkuu Idara ya Ardhi

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amemvua Ukuu wa Idara ya Ardhi Manispaa ya Iringa, Wilbert Mtongani kwa kosa la kwenda kinyume na maadili ya kazi. ...

Read More »
error: Content is protected !!