Friday , 29 March 2024

Month: November 2019

Habari za Siasa

Prof. Lipumba aelemewa Z’bar

SIASA za upinzani Zanzibar, zinaelekea kumwelemea Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), na sasa anatupa lawama zake kwa Maalim Seif...

Habari za SiasaTangulizi

Mdhamini: Nimewasiliana na Lissu, kanijibu hivi 

MDHAMINI wa Tundu Lissu, Ibrahim Ahmed ametoa msimamo wa mdhaminiwa wake, kwamba amepona na hayuko tayari kurejea nchini. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Ibrahim ameieleza...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee, Bulaya, Msigwa, Heche waponea chupuchupu

HALIMA James Mdee, John Heche, Peter Msigwa na Ester Bulaya, wametokea kwenye tundu la sindano kufutiwa dhamana. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hakimu Mkuu...

Habari za Siasa

JPM amnanga RC aliyemtumbua

RAIS John Magufuli amemnanga Dk. Steven Kebwe, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kwa madai ya ‘kujimegea.’ Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Amesema, alijisahau na baadhi...

Habari za SiasaTangulizi

Kilichomkimbiza Meya wa Arusha Chadema, hiki hapa

MEYA wa jiji la Arusha, Calist Lazaro, ametangaza kuondoka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Amewaambia waandishi wa habari, ameelekea Chama...

Habari za Siasa

Kitachofanywa na JPM siku tano za ziara yake Dodoma

RAIS John Magufuli anatarajiwa kufanya ziara ya siku tano jijini Dodoma, kuanzia tarehe 21 – 25 Novemba 2019. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...

Habari za Siasa

Wanaolalamika mahindi kupanda, walime ya kwao – Rais Magufuli

RAIS John Magufuli amewataka watu wanaolalamika bei ya mahindi kupanda, wakalime ya kwao, ili yawe ya bei ya chini. Anaripoti Regina Mkonde … (endela)....

Michezo

Mwina Kaduguda ateuliwa kumrithi Nkwabi Simba

BODI ya Wakurugenzi ya Simba, imemteua Mwina Kaduguda kukaimu nafasi ya Mwenyekiti wa klabu akichukua nafasi iliyoachwa na Swed Nkwabi aliyejiuzuru wakati wakisubiri...

Habari Mchanganyiko

Muhimbili sasa kupandikiza ‘ujauzito’

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH), imeweka mipango ya kuwa na huduma ya kupandikiza mbegu za ujauzito (mimba), ifikapo mwaka 2020. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Mikosi Chadema: Mbowe mgonjwa, wabunge wasota mahabusu

HATIMA ya wabunge wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuendelea kusota lupango au kuwa nje kwa dhamana, wakati wakiendelea kusubiria kesi...

Habari Mchanganyiko

Hatuna uhaba wa mahindi – Serikali

SERIKALI imeeleza kutoridhishwa na upandaji wa bei ya mahindi, ikieleza kutokuwepo kwa uhaba wa bidhaa hiyo nchini. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea),                                            Kauli...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu ampa kibano IGP Sirro

HATUA ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro kudai uchunguzi wa shambulio la Tundu Lissu unakwama kutokana na kutokuwepo kwake...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe kung’oka? Mchakato waanza

MCHAKATO wa kupata viongozi mbalimbali wapya ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umetangazwa kuanza rasmi. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Akizungumzia kuanza...

Habari Mchanganyiko

Waitara aagiza wanafunzi kupanda miti Mil 12

MWITA Waitara, Naibu Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ameagiza wanafunzi milioni 12 wa...

Habari za Siasa

IGP Sirro: Namsubuiri Lissu

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amemweka kiporo Tundu Lissu, na kwamba anamsubiri atokeo alipo ili kutoa ushahidi wa kupigwa...

Habari za Siasa

Mchungaji Msigwa ajisalimisha Oysterbay

MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini yuko njiani kujisalimisha katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, jijini Dar es Salaam. Ni baada ya...

Habari za Siasa

Kimenuka Bodi ya Korosho

TUME ya watu watano, imeundwa ili kuhakiki korosho yote iliyopokelewa, iliyouzwa na fedha zilizopatikana baada ya kuwepo kwa matumizi ya fujo ya Sh....

Habari Mchanganyiko

Mlemavu wa macho ampa ushauri JPM 

MWALIMU Mkuu Mstaafu wa Shule ya Msingi Bwigiri Wasioona, Chamwino mkoani Dodoma, Sylivavus Hosea ambaye ni mlemavu wa macho, amemwomba Rais John Magufuli kuangalia namna ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mangula ‘awatupia mzigo’ wanasiasa

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Taifa, Philiph Mangula amesema, wasiasa ndio wamekuwa chanzo cha viashiria vya kuteteresha amani ya nchi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Vyama vilivyosusa uchaguzi: Watanzania jiandaeni kujibu mapigo

VYAMA saba vilivyojitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vimewataka wanachama wake kukaa mkao wa kujibu mapigo, ikiwa mapendezo yao kuhusu uchaguzi huo,...

Habari za Siasa

Polisi watimiza agizo la Mahakama, Halima Mdee mbaroni

HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe (Chadema) anashikiliwa na Jeshi la Polisi katika kituo cha Oysterbay, kwa amri ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu....

Habari za SiasaTangulizi

TAMISEMI yaja na sharti jipya kwa vyama vilivyojitoa

WIZARA ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI imewataka wagombea wa vyama vya upinzani, vilivyojitoa katika uchaguzi wa serikali za mitaa, kuandika barua za kujitoa katika...

Habari za Siasa

Uchaguzi Serikali za Mitaa: TLP, UMD, DP kuanza kampeni kesho

VYAMA visivyokuwa na uwakilishi bungeni, TLP, UMD na DP, kesho tarehe 17 Novemba 2019  vitaanza kufanya kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa....

Habari za Siasa

JPM ateua bosi taasisi ya utafiti madini

RAIS John Magufuli, amemteua Dk. Mussa Budeba, kuwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST). Anaripoti Faki Sosi...

Habari za Siasa

Maalim Seif azungumzia ‘usaliti’ kwa Rais Aboud Jumbe

WATU waliokuwa karibu na Rais Aboud Jumbe wakati huo, ndio walioiba waraka na kutoa nakala, kisha ule asili ‘original’ wakaurudishwa, nakala nyingine waliipeleka...

Habari za Siasa

Maalim Seif atoa ya moyoni kuhusu Prof. Lipumba

MAALIM Seif Shariff Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, hana kinyongo na Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF). Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yaagiza Bulaya, Mdee, Msigwa, Heche kukamatwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imeamuru kukamatwa kwa wabunge wanne wa Chama cha Demokarasia na Maendeleo (Chadema), kufuatia wabunge...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu atoa onyo kampeni Serikali za Mitaa

WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikitarajiwa kuanza kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa kikiwa peke yake, Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu ameonya watakaofanya...

Habari Mchanganyiko

Kamati ya Ukimwi Moro kutoa elimu ujasiriamali

WAJUMBE wa Kamati ya Ukimwi, Manispaa ya Morogoro, wanajipanga kutoa elimu ya ujasiriamali, kwa makundi mbalimbali wakiwemo vijana. Anaandika Christina Haule, Morogoro … (endelea)....

Habari za Siasa

LHRC: 43% ya wafanyakazi hawajui haki zao

MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Anna Henga amesema, asilimia 43 ya wafanyakazi waliowahoji, hawajui haki zao. Anaandika...

Habari za Siasa

Nasikia naitwa polisi, ngoja niende – Lema

GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha Mjini, leo tarehe 14 Novemba 2019 amesema, amepewa taarifa za wito wa Jeshi la Polisi wilayani Hai, Kilimanjaro....

Habari za Siasa

Spika Ndugai ‘anyonga’ swali la Mbunge Chadema

SWALI la papo kwa papo Kasim Majaliwa, Waziri Mkuu kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, ‘limenyongwa’ juu kwa juu na Job Ndugai, Spika...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri Jafo ‘ashikwa shati’

IMANI kwa Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa (TAMISEMI), imeanza kutoweka. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yajihami kimataifa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimezitaka Jumuiya za Kimataifa kupuuza malalamiko ya vyama vya wapinzani nchini, kwamba vinahujumiwa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza na...

Habari za Siasa

Mawakili wakwamisha kesi ya Mbowe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha shauri namba 112 la mwaka 2018 la uchochezi linalowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kutokana...

Habari za Siasa

Waziri Jafo aanza kuandamwa 

SELEMANI Jafo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), sasa anashinikizwa kujiuzulu. Anaripoti Martini Kamote…(endelea). Imeelezwa,...

Habari za SiasaTangulizi

Msimamo wa Jafo, sherehe kwa CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeungana na kauli ya serikali kwamba ‘hakuna kuweka mpira kwapani.’ Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kauli hiyo, ilianza kutumiwa na...

Habari Mchanganyiko

Serikali: Laini za simu hazitafungwa

SERIKALI imesema, hakuna Mtanzania amabaye laini yake ya simu itafungwa kwasababu ya kutosajiliwa kwa alama za vidole. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kauli hiyo...

Habari Mchanganyiko

Mfumuko wa bei wapanda – Serikali

SERIKALI imeeleza kuwa mfumuko wa bei wa taifa, umeongezeka kwa asilimia 0.2 kutoka asilimia 3.4 Septemba hadi asilimia 3.6 Oktoba mwaka huu. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba awageuka washirika wake

PROF. Ibrahim Lipumba, mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Wananchi (CUF), ameungana na vyama vingine makini vya upinzani nchini, kukiondoa chama chake, katika...

Habari za Siasa

Kumbe Mkapa ndio injinia wa Magufuli!

MCHANGO wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa una nafasi kubwa katika kumwezesha Dk. John Magufuli kuwa rais wa Tanzania. Anaripoti Martin Kamote … (endelea). Akizungumza...

Habari za Siasa

Futeni vyama vya upinzani – JPM ashauriwa

KAMA Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinaamini kwamba kina haki kuliko vyama vingine ndani ya nchi hii, basi upelekwe muswada bungeni ili vyama vya...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli: Nilinyweshwa sumu nife

RAIS John Mafufuli ametoa siri yake ya moyoni, namna alivyonusurika kuuawa kwa kunyweshwa sumu, wakati akiwa Naibu Waziri wa Ujenzi wakati wa utawala...

Habari za Siasa

Rais Mkapa awakutanisha Maalim Seif, JPM

RAIS John Magufuli amekutaa uso kwa uso na Maalim Seif Sharif Hamad, kwenye uzinduzi wa kitabu cha Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa. Anaripoti Martin Kamote...

Habari za Siasa

Waziri Jafo anayumba

HAWAKUTARAJIA. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Seleman Jafo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (TAMISEMI),...

Habari Mchanganyiko

Uvunaji misitu hovyo wapoteza hekta laki nne kwa mwaka

UVUNAJI misitu kwa njia endelevu nchini unapaswa kuendelezwa ili kunusuru uharibifu wa misitu uliopo unaosababisha upotevu wa hekta zaidi ya 469,000 kila mwaka...

Habari za Siasa

CHAUMMA: Muafaka ni Tume Huru, Katiba Mpya

CHAMA cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kimesema muarobaini wa dosari zilizojitokeza katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni Tume Huru na...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo watoa masharti 4 kushiriki uchaguzi 

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimetoa masharti manne kwa serikali, ili kishiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Masharti hayo yametolewa...

Habari za Siasa

Mdee atinga bungeni, Spika Ndugai ‘amaindi’

UNAWEZA kujiuliza, kuna kitu gani kilichopo kati ya Halima Mdee, Mbunge wa Kawe na Job Ndugai, Spika wa Bunge? Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Leo...

Habari Mchanganyiko

Wananchi wamng’oa Rais Bolvia

EVO Morales, Rais wa Bolvia amejiuzulu ili kupunguza ghasia zilizotokana na maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi, yaliyomuweka madarakani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....

error: Content is protected !!