Saturday , 20 April 2024

Day: November 16, 2019

Habari za SiasaTangulizi

Vyama vilivyosusa uchaguzi: Watanzania jiandaeni kujibu mapigo

VYAMA saba vilivyojitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vimewataka wanachama wake kukaa mkao wa kujibu mapigo, ikiwa mapendezo yao kuhusu uchaguzi huo,...

Habari za Siasa

Polisi watimiza agizo la Mahakama, Halima Mdee mbaroni

HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe (Chadema) anashikiliwa na Jeshi la Polisi katika kituo cha Oysterbay, kwa amri ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu....

Habari za SiasaTangulizi

TAMISEMI yaja na sharti jipya kwa vyama vilivyojitoa

WIZARA ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI imewataka wagombea wa vyama vya upinzani, vilivyojitoa katika uchaguzi wa serikali za mitaa, kuandika barua za kujitoa katika...

Habari za Siasa

Uchaguzi Serikali za Mitaa: TLP, UMD, DP kuanza kampeni kesho

VYAMA visivyokuwa na uwakilishi bungeni, TLP, UMD na DP, kesho tarehe 17 Novemba 2019  vitaanza kufanya kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa....

Habari za Siasa

JPM ateua bosi taasisi ya utafiti madini

RAIS John Magufuli, amemteua Dk. Mussa Budeba, kuwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST). Anaripoti Faki Sosi...

error: Content is protected !!