Friday , 29 March 2024

Day: November 13, 2019

Habari za Siasa

Mawakili wakwamisha kesi ya Mbowe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha shauri namba 112 la mwaka 2018 la uchochezi linalowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kutokana...

Habari za Siasa

Waziri Jafo aanza kuandamwa 

SELEMANI Jafo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), sasa anashinikizwa kujiuzulu. Anaripoti Martini Kamote…(endelea). Imeelezwa,...

Habari za SiasaTangulizi

Msimamo wa Jafo, sherehe kwa CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeungana na kauli ya serikali kwamba ‘hakuna kuweka mpira kwapani.’ Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kauli hiyo, ilianza kutumiwa na...

Habari Mchanganyiko

Serikali: Laini za simu hazitafungwa

SERIKALI imesema, hakuna Mtanzania amabaye laini yake ya simu itafungwa kwasababu ya kutosajiliwa kwa alama za vidole. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kauli hiyo...

Habari Mchanganyiko

Mfumuko wa bei wapanda – Serikali

SERIKALI imeeleza kuwa mfumuko wa bei wa taifa, umeongezeka kwa asilimia 0.2 kutoka asilimia 3.4 Septemba hadi asilimia 3.6 Oktoba mwaka huu. Anaripoti Mwandishi...

error: Content is protected !!