Saturday , 20 April 2024

Day: November 12, 2019

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba awageuka washirika wake

PROF. Ibrahim Lipumba, mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Wananchi (CUF), ameungana na vyama vingine makini vya upinzani nchini, kukiondoa chama chake, katika...

Habari za Siasa

Kumbe Mkapa ndio injinia wa Magufuli!

MCHANGO wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa una nafasi kubwa katika kumwezesha Dk. John Magufuli kuwa rais wa Tanzania. Anaripoti Martin Kamote … (endelea). Akizungumza...

Habari za Siasa

Futeni vyama vya upinzani – JPM ashauriwa

KAMA Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinaamini kwamba kina haki kuliko vyama vingine ndani ya nchi hii, basi upelekwe muswada bungeni ili vyama vya...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli: Nilinyweshwa sumu nife

RAIS John Mafufuli ametoa siri yake ya moyoni, namna alivyonusurika kuuawa kwa kunyweshwa sumu, wakati akiwa Naibu Waziri wa Ujenzi wakati wa utawala...

Habari za Siasa

Rais Mkapa awakutanisha Maalim Seif, JPM

RAIS John Magufuli amekutaa uso kwa uso na Maalim Seif Sharif Hamad, kwenye uzinduzi wa kitabu cha Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa. Anaripoti Martin Kamote...

Habari za Siasa

Waziri Jafo anayumba

HAWAKUTARAJIA. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Seleman Jafo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (TAMISEMI),...

error: Content is protected !!