Thursday , 25 April 2024

Day: November 11, 2019

Habari Mchanganyiko

Uvunaji misitu hovyo wapoteza hekta laki nne kwa mwaka

UVUNAJI misitu kwa njia endelevu nchini unapaswa kuendelezwa ili kunusuru uharibifu wa misitu uliopo unaosababisha upotevu wa hekta zaidi ya 469,000 kila mwaka...

Habari za Siasa

CHAUMMA: Muafaka ni Tume Huru, Katiba Mpya

CHAMA cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kimesema muarobaini wa dosari zilizojitokeza katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni Tume Huru na...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo watoa masharti 4 kushiriki uchaguzi 

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimetoa masharti manne kwa serikali, ili kishiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Masharti hayo yametolewa...

Habari za Siasa

Mdee atinga bungeni, Spika Ndugai ‘amaindi’

UNAWEZA kujiuliza, kuna kitu gani kilichopo kati ya Halima Mdee, Mbunge wa Kawe na Job Ndugai, Spika wa Bunge? Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Leo...

Habari Mchanganyiko

Wananchi wamng’oa Rais Bolvia

EVO Morales, Rais wa Bolvia amejiuzulu ili kupunguza ghasia zilizotokana na maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi, yaliyomuweka madarakani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Taifa njia panda

UCHAFUZI uliofanywa na wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa, umelifikisha taifa njia panda. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kauli mbalimbali zinazoashiria kuharibika kwa uchaguzi...

error: Content is protected !!