Thursday , 28 March 2024

Day: November 7, 2019

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wasusia Uchaguzi Serikali za Mitaa

KAMATI Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewaamuru wanachama, viongozi na wafuasi wake, kujiondoa katika mchakato wa uchaguzi wa serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Polepole ‘awanyea’ wapinzani

HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema kinachowatesa vyama vya upinzani nchini ni uchaguzi kuugeuza sherehe badala ya kufuata...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema, ACT-Wazalendo waingia ‘mzigoni’

WAKATI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema, kikijifungia leo tarehe 7 Novemba 2019, kikijadili mikiki inayokumbana nayo kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa,...

Michezo

Baada ya Zahera, Yanga wavunja Kamati ya Mashindano

KAMATI ya Utendaji ya Klabu ya Yanga, imeivunja Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa...

Habari za Siasa

Huko twitter, Nape hapumui

NAPE Nnauye, Mbunge wa Mtama mkoani Lindi, mara kadhaa aandikapo kwenye ukuraswa wake wa twitter, ujumbe wake huzua mjadala na kurejelea kauli yake...

Habari za Siasa

Wizi wa kura 2015: Msigwa ‘amkomalia’ Spika Tulia

MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini ameanzisha upya mjadala wa wizi wa kura, wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Anaripoti Mwandishi Wetu...

error: Content is protected !!