UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetangaza kuachana na kocha wake, Mwinyi Zahera baada ya kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika hizi...
By Kelvin MwaipunguNovember 5, 2019KITUO cha Radio cha Wasafi kimezidi kuibomoa East Afrika Radio baada ya kuwang’oa watangazaji wengine watatu ambao wamejiunga na radio yao hivi karibuni....
By Kelvin MwaipunguNovember 5, 2019KUSHAMIRI kwa vituko, ghiliba na mikasa ya kuogofya, kwenye zoezi la uchukuaji fomu za kugombea katika uchaguzi wa serikali za mitaa, kumeisukuma Chadema...
By Kelvin MwaipunguNovember 5, 2019SERIKALI imesema, imeajiri watu 184141, kuanzia mwaka 2015 hadi 2019. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Takwimu hizo zimetolewa leo tarehe 5 Novemba 2019,...
By Regina MkondeNovember 5, 2019MAALIM Seif Shariff Hamad, anaendelea kukaza ‘msuli’ dhamira yake ya kuichomoa Zanzibar katika mikono ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Jabir Idrisa, Zanzibar…(endelea). Mwansiasa...
By Jabir IdrissaNovember 5, 2019NOVEMBA 4, 2019 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba akiongozwa na Wakili Peter Kibatala, Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema alianza...
By Faki SosiNovember 5, 2019SHEKANDI Ashery Mkombola (44), Mchungaji wa Kanisa la Aglikana, lililopo katika Kijiji cha Chinyika, Mpwapwa jijini Dodoma, na watu wengine 21 wanatuhumiwa kukutwa...
By Danson KaijageNovember 5, 2019KIWANGO cha posho wanacholipwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa nchini, kimezua mjadala bungeni. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mjadala huo ulianza baada ya Hassani...
By Mwandishi WetuNovember 5, 2019PROFESA Mussa Assad, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), anatarajiwa kukabidhi ofisi leo tarehe 5 Novemba 2019. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuNovember 5, 2019