Friday , 29 March 2024

Day: November 3, 2019

Habari za Siasa

‘Uhuru wa kujieleza umeporomoka’ 

RIPOTI ya Shirika la Utafiti la Afrika Mashariki la Twaweza, inaonesha kwamba uhuru wa watu kujieleza, umeporomoka katika nchi za ukanda huo. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Katiba ya Jamhuri inasemaje kuhusu kuondolewa CAG?

RAIS John Magufuli amemteua Charles Kichere, kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea). Uteuzi huo umetangazwa leo...

Habari za Siasa

Rais aagiza Kilombero, Ifakara kufanyiwa mabadiliko

RAIS John Magufuli amemuelekeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Suleman Jafo kufanya mabadiliko kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Assad awekwa kando, Spika Ndugai kupumua?

PROFESA Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amewekwa kando na sasa Charles Kichere ameteuliwa kuchukua nafasi hiyo. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Tweweza ladai kupokea vitisho

SHIRIKA lisilo la kiserikali linalojihusisha na utafiti  la Twaweza, limedai kuwa limelazimika kufuta mkutano wake na waandishi wa habari, uliolenga kutoa tathimini ya hali...

error: Content is protected !!