Wednesday , 24 April 2024

Day: November 1, 2019

Habari Mchanganyiko

Atakayewarudisha kwenye mapigano wakulima, wafugaji kukiona

SERIKALI wilayani Mvomero mkoani Morogoro imesema, itashughulikia mtu yeyote ambaye atathubutu kuwarejesha nyuma kwenye mapigano ya wakulima na wafugaji ambayo wameshayasahau. Anaripoti Christina...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo yawaita viongozi wa dini, wastaafu kutuliza joto

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimewataka viongozi wa dini na viongozi wa serikali waliostaafu kukemea hujuma zinazojitokea katika uchaguzi Serikali za Mitaa kwani zinaweza kusababisha...

Habari Mchanganyiko

‘Utatu mtakatifu’ wa kupinga rushwa ya barabarani wazinduliwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi na wadau mbalimbali wa kupinga rushwa nchini imezindua...

Habari Mchanganyiko

Ushirikiano wa EWURA, Wizara ya Madini waokoa Bil 121.6

EWURA kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati na Madini iliandaa Mfumo wa Uagizaji wa Pamoja (BPS) wa mafuta nchini, Utafiti wa UDSM, Aprili...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro aagiza aliyetishia kwa bastola, akamatwe

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro amesema kijana aliyefahamika kwa jina moja la Shaban, atakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo...

Habari Mchanganyiko

Idris atuhumiwa kuchapisha habari za uongo, kujifanya rais

BENEDICT Ishabakaki, Mwanasheria wa Idris Sultan, mshindi wa Shindano la Big Brother 2014, amesema mchekeshaji huyo anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza habari za...

error: Content is protected !!