Monthly Archives: November 2019

Sumaye ajitosa kumkabili Mbowe

LICHA ya “vitimbi” vya wafuasi wa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Pwani, Fredrick Sumaye, bado ameendelea kujitosa katika ...

Read More »

Simba wamtema rasmi Aussems, mwenyewe athibitisha

KOCHA wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji amethibitisha kuvunjwa kwa mkataba wake na klabu hiyo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Baada ya kuwepo kwa tetesi za muda mrefu pamoja ...

Read More »

Lissu, Kubenea kuchuana umakamu mwenyekiti Chadema

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo, wamejitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania umakamu mwenyekiti wa chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde ...

Read More »

Pambalu ajitosa uenyekiti BAVICHA

JOHN Pambalu, Diwani Kata ya Butimba jijini Mwanza, ametangaza nia ya kugombea uenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha). Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Pambalu ambaye ni Makamu Mwenyekiti ...

Read More »

Mbowe amaliza utetezi, Msigwa aanza 

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwamba chama chake hakina dhamira ya kushika madaraka kwa vurugu wala umwagaji wa damu. Anaripoti ...

Read More »

ACT-Wazalendo: Gharama mpya NHIF ni janga

GHARAMA kubwa za matibabu zilizowekwa na Mfuko wa Bima ya Afya nchini (NHIF), zitaumiza wengi. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 29 Novemba 2019 na Dorothy Semu, Katibu ...

Read More »

Zitto hakijaeleweka kortini

HURUMA Shahidi, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam, ameahirisha kesi namba 327/2018, inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama ch ACT-Wazalendo, kutokana na shahidi wa Jamhuri kutohudhuria ...

Read More »

Diwani CCM kupigwa risasi: Viongozi Chadema wanaswa

VIONGOZI wawili wa Chadema, mkoani Songwe wameachwa huru, huku wawili wakifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe, kwa tuhuma za kujaribu kumuua kwa risasi Diwani wa CCM. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). ...

Read More »

Bombadier iliyokamatwa Canada, kuwasili nchini

NDEGE iliyoshikiliwa nchini Canada kutokana na amri ya mahakama kufuatia kesi ya madai iliyofunguliwa na Hermanus Steyn, inataraji kuwasili Tanzania wakati wowote. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa hiyo imetolewa jana tarehe ...

Read More »

Lissu ‘ainusa’ Tanzania

TUNDU Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki yupo nchini Kenya, akisubiri ‘amri’ ya kuingia nchini endapo atahakikishiwa usalama wake. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza na kituo cha Televisheni cha KTN nchini ...

Read More »

Fredrick Sumaye: Nimepozwa na uenyekiti wa Mbowe

FREDRICK Tluway Sumaye, ameshindwa katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani, kufuatia kupigiwa kura nyingi za  Hapana. Anaripoti Hamis Mguta, Kibaha … (endelea). Taarifa kutoka ...

Read More »

Ma-DED wala kibano

WAKURUGENZI wa halmashauri nchini, wameagiza kurejesha fedha walizokopa kwenye taasisi za fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Agizo hilo limetolewa leo tarehe 18 Novemba 2019 na Seleman ...

Read More »

Afya ya Mbowe mgogoro, mawakili ‘wamkomalia’

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeahirisha shauri namba 112/2019, linalowakabili viongozi tisa wa Chadema, kutokana na kutetereka kwa afya ya mshtakiwa namba moja, Freeman Mbowe. Anaripoti Faki ...

Read More »

Sumaye: Nina asilimia chache kupita

FREDERICK Sumaye, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani amewataka wagombea kwenye kanda hiyo, kutojenga chuki pale wanaposhindwa. Anaripoti Hamis Mguta, Kibaha … (endelea). Amesema, yeye mwenyewe ...

Read More »

Handeni kupanda shamba la kuni

SHUGHULI za utafutaji nishati ya kupikia nyumbani (kuni) kwenye misitu zinapaswa kubadilika na kutafuta kwenye shamba binafsi jambo litakalosaidia kuendeleza uhifadhi wa misitu na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. ...

Read More »

Machinga Morogoro wapigwa tafu na taasisi ya Wakimbizi

WAFANYABIASHARA ndogondogo ‘Machinga’ wa kata tatu Kingo, Sabasaba na Chamwino, Morogoro wamepokea misaada ya vitu mbalimbali vyenye thamani ya Sh. 3  milioni kutoka kwa Taasisi ya Kuhudumia Wakimbizi ya Tanganyika ...

Read More »

Membe tishio CCM

CHAMA Chama Mapinduzi (CCM), kina hofu na Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa zilifikia mtandao huu zinaeleza, hatua ya Membe kutekenya nafasi ...

Read More »

BAVICHA ni toka ingia

PATRICK Ole Sosopi, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayemaliza muda wake, amesema hana mpango wa kugombea tena nafasi hiyo. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). ...

Read More »

Kukoroma kunaweza kusababisha kifo

WATU wengi wanaona tatizo la kukoroma usingizini, ni jambo la kawaida, lakini linapokomaa, madhara yake ni makubwa. Anaandika Hamis Mguta…(endelea). Dk. Elisha Madebere, Daktari wa Kliniki ya Usingizi kutoka Taasisi ...

Read More »

JPM: Hakuna vya bure

RAIS John Magufuli amesema, hakuna vya bure, na kwamba ili upate fedha, lazima ufanye kazi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kiongozi huyo wa nchini, ametoa kauli hiyo leo tarehe 27 Novemba ...

Read More »

Tume Huru ya Uchaguzi yamtesa Dk. Bashiru

MADAI ya Tume Huru ya Uchgauzi yanayotolewa na wanasiasa wa vyama vya upinzani nchini, yanakinzana na mtazamo wa Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM). Anaripoti Martin ...

Read More »

Palestina walaani mauaji ya wafungwa Israel

UBALOZI wa Palestina nchini Tanzania umelaani mauaji ya wafungwa katika magereza ya Israel. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa na ubalozi huo leo tarehe 26 Novemba 2019, ...

Read More »

CCM yamuonya Bernard Membe

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimemuonya Benard Membe, kutokuwa juu ya katiba ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Onyo hilo limetolewa leo tarehe 27 Novemba 2019 na Dk. Bashiru ...

Read More »

Jaji Warioba aingia hofu

JAJI Mstaafu, Joseph Sinde Warioba ameingiwa na hofu kutoa maoni yake kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, uliofanyika tarehe 24 Novemba 2019. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Uchaguzi huo, ulisuswa ...

Read More »

Serikali yafumua mfumo wa Vyuo vya Afya

WIZARA ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imefumua mfumo wa uongozi wa vyuo vya afya vidogo, ili kuboresha utoaji wa taaluma nchini. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea). Hatua ...

Read More »

Wadau wa uchumi watunukiwa vyeti vya heshima

WAJUMBE 40 wa vituo vya taarifa na maarifa nchini wametunukiwa vyeti vya heshima vya elimu ya ajira kwa wanawake na vijana kwa kuanzisha viwanda ikiwa ni pamoja na kubuni miradi ...

Read More »

“Wanafunzi vyuo vikuu wanashiriki mapenzi ya wenyewe kwa wenyewe”

SHIRIKA la Kutetea Haki za Wanawake na Watoto (Kivulini) mkoani Mwanza, limebaini vijana wengi wa vyuo vikuu hususan wa mwaka wa kwanza, wamekuwa wakitumia mikopo ya elimu ya juu kujiingiza ...

Read More »

Dk. Bisimba: Nchi imevimba

ALIYEKUWA Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Helen Kijo-Bisimba, ameibuka na kusema, uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji wa juzi Jumapili, ulikuwa ...

Read More »

Mbowe bado mgonjwa, aomba kughairishwa kesi yeke

FREEMAN Mbowe, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kupumzika kutokana na hali ya afya yake kutoimarika. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mbowe ...

Read More »

Mwambe: Nataka kumtua mzigo Mbowe, Ajifananisha na Simon Wakirene aliyemtua Msalaba Yesu

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Ndanda, mkoani Mtwara, Cecil Mwambe, amejitosa kwenye kinyang’anyiro cha uenyekiti ndani ya chama chake. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). ...

Read More »

Vyama vilivyojitoa vyapewa nafasi 163 kati ya 332,160

VYAMA vya upinzani vilivyojitoa katika kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vimepewa nafasi 163 kati ya 332,160, zilizokuwa zinashindaniwa katika uchaguzi huo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akizungumza na ...

Read More »

Wadau wa misitu wataka mabadiliko ya sheria ya misitu

WADAU wa misitu wameomba mabadiliko ya Sheria na Sera za misitu ili ziwekwe vizuri, kusaidia kuondoa uharibifu wa misitu nchini. Anaripoti Christina Haule, Tanga … (endelea). Mratibu wa Programu ya ...

Read More »

Rais Magufuli: Jeshi msikubali vikwazo

RAIS John Magufuli, Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, ameyataka majeshi nchini kutokubali kuwekewa vikwazo, katika utekelezaji wa majukumu yake. Anaripoti Martin Kamote…(endelea) Rais Magufuli ametoa wito huo leo tarehe 25 ...

Read More »

China kuchangia 98 Bil. ujenzi makao makuu ya ulinzi Dodoma

SERIKALI ya China imepanga kutoa Yuan RMB 300 Milioni (Tsh. 98,084,910,435.8), kwa ajili ya kuimarisha ulinzi nchini ikiwemo, ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, jijini Dodoma. Anaripoti Regina ...

Read More »

Vituko vitupu uchaguzi serikali za mitaa

KATIKA mitaa 565 jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa tovuti ya mkoa huo, mitaa isiyozidi mitano, iliyoripotiwa kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji, jana tarehe 24 Novemba 2019. Anaripoti Waandishi ...

Read More »

Pambano la Mwakinyo sasa ni bure

WAPENZI wa mchezo wa ngumi nchini watepata fulsa ya kushuhudia mpambano wa kimataifa utakaowakutanisha Bondia Hassan Mwakinyo wa Tanzania dhidi ya mpinzani wake kutoka Ufilipino, Arney Tinampay bila kiingilio. Anaripoti ...

Read More »

JPM: Tumebembelezana sana, sasa basi

RAIS John Magufuli, amezipa siku 60 taasisi, mashirika na kampuni 187 za umma, ziwasilishe gawio serikalini. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Ametoa agizo hilo leo tarehe 24 Novemba 2019, Ikulu Ndogo, Chamwino ...

Read More »

Chadema waanza kupanga mikakati ya kushughulikiana

UHASAMA na siasa za makundi vimeanza kushika kasi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kufuatia baadhi ya viongozi wandamizi wa chama hicho, kuwandalia wabunge wao wawili audio inayolenga ...

Read More »

Halima Mdee achukuliwa fomu BAWACHA

WAJUMBE wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) wamemchukulia Halima Mdee, Mbunge wa Kawe, fomu ya kugombea uenyekiti wa baraza hilo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Wajumbe hao wakiongozwa na Grace ...

Read More »

Viongozi Chadema watuhumiwa kumpiga risasi diwani wa CCM

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Songwe, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi katika Kituo cha Vwawa, kwa tuhuma za kumjeruhi kwa risasi, Julius Mwavilenga, Diwani wa Kata ...

Read More »

Bombadier ya Tanzania yakamatwa Canada, Prof. Kabudi achimba mkwara

NDEGE aina ya Bomberdier Q 400 iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania, inashikiliwa nchini Canada, kwa amri ya mahakama. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hayo amesema Profesa Palamagamba Kabudi, Waziri wa ...

Read More »

Mtatiro awaonya wanaokwamisha minada ya korosho

JULIUS Mtatiro, Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, amewaonya watendaji watakaokwamisha minada ya korosho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Mtatiro ametoa onyo hilo baada ya kubaini changamoto mbalimbali zinazokwamisha ...

Read More »

Mambosasa akazia marufuku ya wapiga debe

LAZARO Mamabosasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Saalam amesema upigaji wa debe ni marufuku katika vituo vya daladala. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Mambosasa ameyasema hayo, leo ...

Read More »

Bunge kutotumia neno chama tawala, upinzani 

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri amesema, chombo hicho cha kutunga sheria, kipo kwenye mjadala mzito wa kutafuta majina ya utambulisho kwa wabunge wa chama tawala na upinzani. Anaripoti Danson ...

Read More »

Tapeli wa fedha kupitia ATM akamatwa

JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Halima Juma (23), Mkazi wa Chalinze kwa tuhuma za wizi wa fedha kupitia mashine za kutolea fedha (ATM). Anaripoti Hamis Mguta ...

Read More »

Zitto apigwa kalenda

HAKIMU Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam, Huruma Shaidi ameahirisha kesi ya uchochezi namba 327/2018, inayomkabili Zitto Kabwe kutokana na shahidi wa Jamhuri kutohudhuria. Anaripoti Faki ...

Read More »

Hakimu amgeuzia kibao Lissu

THOMAS Simba, Hakimu Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemtaka Tundu Lissu kufika katika mahakama hiyo tarehe 19 Desemba 2019. Anaripoti Faki Sosi … (endelea).  Amri hiyo ...

Read More »

Tuhuma za rushwa ya ngono vyuoni, pasua kichwa

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. Faustine Bee, amewachongea baadhi ya wahadhiri wenzake katika chuo hicho kwa Rais John Pombe Magufuli. Anawatuhumu kujihusisha na vitendo vya ngono ...

Read More »

Mkapa aisisimua CUF, Prof. Lipumba amuita

BARAZA Kuu la Uongozi wa Taifa la CUF, limeeleza kuguswa na yaliyomo ndani ya kitabu cha Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa ‘Maisha Yangu, Kusudio Langu.’ Anaripoti Martini Kamote … (endelea). Prof. ...

Read More »

Hiki ndiyo kinachoitia unyonge klabu ya Yanga

UONGOZI wa klabu ya Yanga amesema uuzaji wa jezi feki ni moja ya kitu kinachowapa Yanga unyonge kutokana na kukosa mapato na kunufaika watu wengine. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). ...

Read More »
error: Content is protected !!