Daily Archives: October 5, 2019

‘Mawaziri hawajui kesho yao’

RAIS John Magufuli amewataka Watanzania kuwaombea mawaziri, akisema kwamba wanafanyakazi kwa mateso makubwa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Rais Magufuli ametoa wito huo leo tarehe 5 Oktoba 2019, akizungumza na wananchi kwenye ...

Read More »

Dk. Mwele amjibu JPM ‘situmiki’

DAKTARI Mwele Malecela, Mkurugenzi wa Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika vya Shirika la Afya Duniani (WHO), amesema ‘hatumiki’. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Jana tarehe 4 Oktoba 2019, kupitia ukurasa ...

Read More »

JPM ampuuza mbunge CCM

RAIS John Magufuli amepuuza tuhuma zilizotolewa na Janeth Mbene, Mbunge wa Ileje kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi ya Haji Mnasi, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje mkoani ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram