Daily Archives: October 3, 2019

Ebola: Tanzania yaishangaa WHO

SERIKALI ya Tanzania imeeleza kushangazwa na kauli ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kwamba ilikugoma kutoa taarifa kuhusu kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola. Anaripoti Faki Sosi … (Endelea). “Sisi wenyewe tumeshangaa ...

Read More »

Tundu Lissu ‘kujinoa’ Marekani, Ulaya

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amekwenda Marekani na baadaye Ulaya. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Nchini Marekani, Lissu anatarajia kufanya mazungumzo na viongozi wa Serikali ...

Read More »

Mwalimu alalamika kunyimwa ruhusa ya kuuguza mama yake

MWALIMU wa shule ya msingi Chazungwa, wilayani Mpwapwa, Dodoma, Rose Mgulambwa amesema anashangazwa na Afisa Elimu Msingi, Mery Chakupewa kwa kumnyima uhamisho kwa ajili ya kumuhudumia mama yake mzazi ambaye ...

Read More »

Taasisi za dini kufanyiwa uhakiki

OFISI ya Msajili wa Jumuiya za Kijamii na Taasisi za Kidini, kufanya uhakiki wa taasisi na jumuiya hizo, zilizopo katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kwa mujibu ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram