Daily Archives: October 2, 2019

Kesi ya Kikatiba: Zitto, serikali waungana

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo ameungana na serikali dhidi ya Dezydelius Mgoya (mkulima), aliyefungua kesi ya kikatiba kupinga ibara ya 40 (2). Anaripoti Faki Sosi … (endelea). “Tunalinda ukuu ...

Read More »

Uhujumu uchumi: Kigogo mwingine ajitosa kwa DPP

KULUTHUM Mansoor, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), amekiri kosa na kutaka yaishe. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Elia Mwingira, Wakili ...

Read More »

Wauwaji wa mwandishi wa habari Jamal Khashoggi waumbuka

SIRI juu ya mauaji ya mwandishi wa habari wa kimataifa raia wa Saudia, Jamal Khashoggi, zimeanza kufichuka. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa kutoka jijini Istanbul nchini Uturuki zinasema, ushahidi huo ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram