Daily Archives: October 1, 2019

Wazee Morogoro waiangukia MORUWASA

WAZEE mkoani Morogoro wameiomba Mamlaka ya maji safi na maji taka mkoa (MORUWASA) kuhakikisha huduma ya maji inafika kila eneo ili kuwasaidia wazee kuondokana na adha ya kukosa maji. Anaripoti ...

Read More »

Tumezima tukio la ujambazi -Kamanda Mambosasa

JESI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeeleza kufanikiwa kuzima tukio la ujambazi, Mbezi Msakuzi, njia panda ya Mpiji Magoe. Anaripoti Kamote…(endelea). Limeeleza, mafanikio hayo yametokana na taarifa ...

Read More »

Mama Samia: Kazi ipo

MAKAMU wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan amewapongeza viongozi mbalimbali walioteuliwa na Rais John Magufuli, na kuwatahadharisha kwamba kazi ipo. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Mama Samia ametoa kauli hiyo leo tarehe ...

Read More »

‘Wavamizi mwendokasi, hakuna faini ni mahakamani’

MADEREVA wa vyombo vya moto vinaovamia barabara ya mabasi ya mwendakasi, hawatotozwa faini badala yake watapelekwa mahakamani. Anaripoti Martin Kamote…(endelea). Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema hivyo ...

Read More »

Mwandishi wa habari Kabendera, amwangukia Rais Magufuli 

ERICK Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi, mtafiti na mshauri wa kimataifa wa masuala ya siasa, habari na uchumi, ameomba msamaha kwa Rais John Magufuli, ili kuweza kuwa huru. Anaripoti Kelvin ...

Read More »

Serikali za Mitaa: Polisi waonya

HATUTAFUMBIA macho watu, taasisi na vyama vya siasa vitakavyokiuka sheria. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 1 Oktoba 2019 na Benedict Wakulyamba, Kamishna wa Polisi wakati akizungumza ...

Read More »

JPM asaini sheria nne mpya

RAIS John Magufuli amesaini sheria nne zilizopitishwa katika mkutano wa 16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa leo tarehe 1 Oktoba ...

Read More »

Rais Magufuli ‘aisuka’ NEC

RAIS John Magufuli, amemteua Wilson Charles kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Charles amechukua nachukua nafasi ya Athuman Kihamia, aliyekuwa mkurugezi wa tume hiyo ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram