WAKILI Fatma Karume amemueleza Rais John Magufuli kwamba, yuko tayari kukaa jela miaka 30, ili kuboresha demokrasia na utawala wa sheria nchini. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2019MKURUGENZI wa Makosa ya Jinai (DPP), amekata rufaa kupinga kufutwa kwa makosa ya utakatishaji fedha katika kesi inayowakabili aliyekuwa Rais wa Klabu ya...
By Faki SosiSeptember 20, 2019DAKTARI Modestus Kipilimba, aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), ameteuliwa kuwa balozi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Rais Magufuli alimfuta kazi Dk....
By Regina MkondeSeptember 20, 2019SERIKALI imeeleza, bado inadaiwa kiasi cha Sh. 50 bilioni na wakulima wa zao za korosho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza na wanahabari leo...
By Regina MkondeSeptember 20, 2019KUTEMBEA mwendo mrefu pia kushindwa kupatikana kwa mahitaji kwa mtoto wa kike, husababisha watoto hao kufikiria kuacha shule. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageSeptember 20, 2019SHIRIKA la kuwahudumia wakimbizi la Tanganyika (TCRS) lililopo mkoani hapa limewataka wafanyabiashara kutii sheria za miji na majiji zilizopo bila shuruti huku akiwaasa...
By Christina HauleSeptember 20, 2019EDWARD Lowassa, Waziri Mkuu aliyejiuzulu katika serikali ya awamu ya nne, amenadi kazi zinazofanya na Dk. John Magufuli, Rais wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2019THOMAS Mgoli (37) amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la kujifanya Ofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)...
By Faki SosiSeptember 20, 2019DAKTARI Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango ameeleza kwamba, sasa hivi hasikii tena malalamiko ya ‘vyuma kukaza’ kutokana na benki za biashara...
By Kelvin MwaipunguSeptember 19, 2019EVANS Aveva, aliyekuwa Rais wa Klabu ya Simba na makamu wake Godfrey Nyange, wamefutiwa mashtaka mawili ya utakatishaji fedha, kati ya mashtaka kumi...
By Kelvin MwaipunguSeptember 19, 2019KIFO cha Godfrey Dilunga, aliyekuwa Mhariri wa Gazeti la Jamhuri kilichotokea alfajiri ya tarehe 17 Septemba 2019, kimeunganisha wanasiasa wa upinzani na chama...
By Faki SosiSeptember 19, 2019NCHI haiwezi kustawi bila ya uhuru wa vyombo vya habari. Kukosekana kwa uhuru huo, kunadumaza maendeleo ya nchi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Huo...
By Faki SosiSeptember 19, 2019HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema, anampenda Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 19, 2019ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameonya mkakati wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kutenganisha wapiga kura visiwani Zanzibar. Anaripoti Faki Sosi...
By Faki SosiSeptember 19, 2019MFANYABIASHARA maarufu nchini na mwekezaji katika Klabu ya Simba, Mohamed Dewj ‘Mo’ ameanzisha mjadala mtandaoni. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Tarehe 17 Septemba 2019,...
By Mwandishi WetuSeptember 19, 2019JASON Rwekaza, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyantore, Kigoma anayetuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wake (jina linahifadhiwa), amekamatwa tena. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuSeptember 18, 2019AYUBU Sikagonamo, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), Mkoa wa Songwe amefutiwa kesi ya kukutwa na silaha, na kufunguliwa kesi ya...
By Mwandishi WetuSeptember 18, 2019JENGO moja la Shule ya Sekondari ya Old Tanga, iliyoko jijini Tanga limeteketea kwa moto mchana wa leo tarehe 18 Septemba 2019. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeSeptember 18, 2019KLABU ya Yanga kupitia kamati ndogo ya hamasa imepanga mikakati ya kusafiri na mashabiki kuelekea kwenye mchezo wa marudiano wa Klabu Bingwa Afrika...
By Kelvin MwaipunguSeptember 18, 2019KASSIMU Majaliwa, Waziri Mkuu amehoji sababu za Kiwanda cha Sukari cha Kilombero chenye uzalishaji mkubwa kuliko viwanda vingine vya sukari nchini, kutoa gawio...
By Mwandishi WetuSeptember 18, 2019MWANAHABARI Erick Kabendera, anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, amefanyiwa vipimo vya X-Ray na damu katika Hospitali...
By Faki SosiSeptember 18, 2019IKIWA ni siku ya kwanza ya kujitetea kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika kesi ya uchochezi namba 112/2018 kwenye...
By Faki SosiSeptember 17, 2019PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, kama isingekuwa njaa, basi angefanya uamuzi wa kujiuzulu nafasi hiyo baada ya kukosolewa...
By Kelvin MwaipunguSeptember 17, 2019KIFO cha Godfrey Dilunga, mwandishi wa habari za mtafiti, mhariri na mchokonozi, kimeumiza tasnia nzima ya habari na kada zingine nchini. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....
By Regina MkondeSeptember 17, 2019JOSEPH Bundala, Askofu Mkuu wa Kanisa la Methodist nchini Tanzania amezitaka taasisi za dini kufanya mabadiliko ya katiba zao, ili ziendane na wakati...
By Danson KaijageSeptember 17, 2019RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Majura Kasika, Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Morogoro na Mussa Mnyeti, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya...
By Kelvin MwaipunguSeptember 17, 2019MHASHAMU Yuda Thadeus Ruwai’chi, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam, ametolewa katika chumba cha uangalizi maalumu (ICU). Anaripoti Faki...
By Faki SosiSeptember 16, 2019RAIS John Magufuli amesema, Jimbo la Singida Mashariki limechelewa kupata maendeleo, kutokana na kutelekezwa na aliyekuwa mbunge wake, Tundu Lissu. Anaripoti Faki Sosi...
By Faki SosiSeptember 16, 2019RAIS John Mgaufuli amesema, kelele zilizoibuka baada ya ndege ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL), kushikiliwa nchini Afrika Kusini kwa amri ya...
By Regina MkondeSeptember 16, 2019JINA la Tundu Lissu, ndani na nje ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, linakua. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuSeptember 16, 2019ADO Shaibu, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha ACT Wazalendo, na viongozi wa chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam,...
By Regina MkondeSeptember 14, 2019SERIKALI imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kwamba kuna mlipuko wa virusi vya ugonjwa wa Ebola hapa nchini. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hivi karibuni...
By Regina MkondeSeptember 14, 2019BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limehailishwa hadi tarehe 6 Novemba, 2019, baada ya wabunge kufanya shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na...
By Danson KaijageSeptember 13, 2019MUDA mchache baada ya Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kumtaka Cyprian Musiba, anayejitambulisha kuwa mwanaharakati na mtetezi wa Rais...
By Danson KaijageSeptember 13, 2019SERIKALI imesema, moja ya jukumu la Jeshi la Magereza ni kuwapokea na kuwaifadhi waharifu wa aina zote, wanaopelekwa kwa mujibu wa sheria. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageSeptember 13, 2019CYPRIAN Musiba, anayejitambulisha kuwa mwanaharakati na mtetezi wa Rais John Magufuli, amechokwa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Serikali kupitia Kangi Lugola, Waziri wa Mambo...
By Danson KaijageSeptember 13, 2019SERIKALI imewataka viongozi wa vyama vya watu wenye ulemavu kuwa wabunifu katika kuibua miradi, badala ya kutegemea wafadhili. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....
By Danson KaijageSeptember 12, 2019SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imesaini mkataba wa makubaliano wa miaka mitatu na serikali ya Ujerumani...
By Kelvin MwaipunguSeptember 12, 2019RAIS wa Jamhuri, Dk. John Pombe Magufuli, amemfuta kazi aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Dk. Modestus Kipilimba. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguSeptember 12, 2019UPANDE wa serikali umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuwa wapo katika hatua za mwisho kufunga ushahidi wao kwenye kesi ya uchochezi inayomkabili...
By Faki SosiSeptember 12, 2019FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa na wenzake, wamekutwa na kesi ya kujibu katika kesi ya jinai namba 112/2018, inayowakabili kwenye Mahakama ya...
By Regina MkondeSeptember 12, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Septemba 2019, imeombwa kulielekeza Jeshi la Magereza kuruhusu Mwandishi wa Habari...
By Regina MkondeSeptember 12, 2019BERNALD Nyambari, aliyekuwa Msaidizi wa Upepeli Mkoa wa Kipolisi Kinondoni na shahidi namba nane wa Jamhuri katika kesi ya uchochezi namba 112/2018, inayomkabili...
By Faki SosiSeptember 11, 2019OMARY Nundu, aliyewahi kuwa Mbunge wa Tanga Mjini na Waziri wa Uchukuzi katika Serikali ya Awamu ya Nne chini ya Rais Jakaya Kikwete,...
By Regina MkondeSeptember 11, 2019SERIKALI imesema, ni kweli Wilaya ya Itilima kwa sasa haina Mahakama ya Wilaya, hivyo wananchi wanalazimika kusafiri kwa umbali wa kilometa 37 kufuata...
By Danson KaijageSeptember 11, 2019SHAHIDI wa nane katika kesi ya uchochezi namba 112/2018, inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake wanane, ametoa ushahidi wake leo. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Kwenye kesi...
By Faki SosiSeptember 11, 2019Katibu mkuu wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Tff, Wilfred Kidau ametoa pole kwa familia ya shabiki mmoja aliepoteza maisha kwenye mchezo...
By Kelvin MwaipunguSeptember 10, 2019SERIKALI ya Tanzania imepatiwa msaada wa Sh. 32.74 bilioni kutoka Ujerumani kwa ajili ya kutokomeza vifo vitokanavyo na uzazi, pamoja na kudhibiti maambukizi...
By Regina MkondeSeptember 10, 2019NAPE Nnauye, Mbunge wa Mtama, leo tarehe 10 Agosti 2019 amekwenda kuungama kwa Dk. John Magufuli, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Kelvin...
By Kelvin MwaipunguSeptember 10, 2019IDADI kubwa ya mashahidi wa upande wa Jamhuri kwenye kesi ya uchochezi namba 112/2018, inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake, imeibua mjadala. Anaripoti Faki Sosi…(endelea)....
By Faki SosiSeptember 10, 2019