Daily Archives: September 4, 2019

‘Matukio kutupa watoto yameongezeka’

BUNGE limeelezwa, katika kipindi cha Januari hadi Juni 2019, kumekuwa na jumla ya matukio 66 ya watoto waliotupwa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 4 Septemba ...

Read More »

Wafugaji kuku watakiwa kufuata maelekezo ya wataalam

WAFUGAJI wa kuku nchini wameshauriwa kufuata maelekezo ya wataalam na kuongeza uzalishaji ili bei ya kuku kuweza kushuka na jamii kununua na kula vyakula vya lishe kwa kuondokana na magonjwa ...

Read More »

JPM: Nimewasamehe Makamba, Ngeleja

RAIS John Magufuli amewasamehe January Makamba, aliyekuwa Waziri wa Mazingira na Muungano na Willium Ngeleja, Mbunge wa Sengerema baada ya kumwomba radhi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Amesema, Makamba na Ngeleja walimwomba radhi ...

Read More »

Mikoa inayoongozwa kwa ukatili hii hapa

UKATILI wa kijinsia dhidi ya watoto, umeongezeka kwa asilimia 7.7 kutoka matukio 13,457 mwaka 2017 hadi 14,419 mwaka 2018 huku mikoa mitano ikiongoza. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa ...

Read More »

Mahakama Afrika Kusini yaamuru ndege ya Tanzania iachwe huru

NDEGE ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), aina ya Air Bus A220-300 iliyoshikiliwa nchini Afrika Kusini kwa amri ya mahakama, imeachwa huru. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa ...

Read More »

Zitto, Lissu wamkosha Maalim Seif

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo anatarajia mwelekeo mpya wa vyama vya upinzani nchini baada ya Zitto Kabwe na Tundu Lissu kukutana na kuzungumzia namna ya ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram