Daily Archives: September 3, 2019

Sekondari Ugombolwa, Migombani, Zawadi zaifurahia UBA Tanzania

TABIA ya kujisomea hujengwa, kwa kutambua hivyo Benki ya UBA Tanzania imekuwa ikishiriki kutoa mchango wa vitabu kuhakikisha inajenga tabia hiyo kwa wanafunzi nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Benki ...

Read More »

TCRA yashusha nyundo kwa Global TV, EATV

KITUO cha Runinga cha EATV, Global TV na Le Mutuzi Online, vimepewa onyo na Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa kukiuka kanuni za Sheria ya Mawasiliano ...

Read More »

Mbunge ataka mazingira rafiki kwa madaktari bingwa

SONIA Mgogo, Mbunge wa Viti Maalum (CUF), ameitaka serikali kueleza mpango wake wa kuwawezesha madaktari bingwa ili wafanye kazi nchini. Anaripoti Danson Kaijage, Ddodoma … (endelea). Mbunge huyo ameuliza swali la nyongeza ...

Read More »

Mbunge Chadema ahoji miradi ya maji kutokamilika

SERIKALI imetakiwa ieleze, ni lini itahakikisha miradi ya maji ambayo inatakiwa kutekelezwa, inatekelezwa kwa wakati. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma … (endela). Pia imetakiwa kwa namna gani miradi hiyo itaenda  sambamba na ...

Read More »

Spika Ndugai atangaza mfumo mpya kazi za Bunge 

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ametangaza kusitisha kutoa karatasi zinazoonesha orodha ya vikao vya shughuli za Bunge. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Ametoa kauli hiyo leo tarehe 3 Septemba 2019 ...

Read More »

Kuapishwa mrithi wa Lissu: Wapinzani wasusa, Ndugai apiga kijembe

MIRAJI Mtaturu ameapishwa rasmi kuwa Mbunge wa Singida Mashariki, akirithi mikoba ya Tundu Lissu aliyevuliwa ubunge wa Jimbo hilo. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Lissu alivuliwa ubunge kwa madai ya ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram