Daily Archives: September 2, 2019

Mahakama yamweka Lissu njia panda

MAHAKAMA Kuu nchini Kanda ya Dar es Salaam, imesitisha kutoa uamuzi wa kuapishwa ama kutoapishwa kwa Mbunge Mteule wa Singida Mashariki, Miraji Mtaturu. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Jaji Sillirus ...

Read More »

Vipaji vya watoto kusakwa Leaders Club

KAMPUNI ya kuandaa filamu nchini Tanzania (J FILM 4 LIFE), imeanza utaratibu wa kutafuta vipaji vya kuigiza kwa watoto ili kushiriki kwenye vilamu mpya ya watoto wanayotarajia kuiandaa. Anaripoti Martin ...

Read More »

Rais Magufuli: Nyinyi watendaji ndio waamuzi

RAIS John Magufuli amesema, yeye ni mpangaji wa muda pale Ikulu, na kwamba watendaji kata na Watanzania ndio wanaoamua nani awe mpangaji wa jengo hilo. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Rais Magufuli ametoa ...

Read More »

Chadema yanyang’anywa halmashauri Karatu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), tayari kimepoteza uongozi wa moja ya ngome yake kuu iliyokuwa inaishikilia kwa takribani miaka 25 mfululizo. Ni halmashauri ya wilaya ya Karatu, mkoani Manyara. Anaripoti ...

Read More »

Zitto, Lissu wateta mazito Ubelgiji

MBUNGE wa Kigoma Mjini, kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, yuko nchini Ubelgiji, alikokwenda kumjulia hali mwanasiasa mahiri nchini, Tundu Antipas Lissu. Anaripoti Mwandishi wetu…(endelea). Taarifa kutoka kwa watu ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram