Monthly Archives: September 2019

Lugola: Tutafika pahala, maiti zitachukuliwa hatua

KANGI Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amekemea uzembe wa baadhi ya askari polisi dhidi ya wahalifu wa ujambazi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Lugola ameeleza kuwa, uzembe huo ukikithiri ...

Read More »

Mbowe apata ulinzi wa Polisi

JESHI la Polisi wilayani Hai mkoa wa Kilimanjaro, limevamia mkutano wa ndani wa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni, kumlinda kiongozi huyo na wafuasi wake. ...

Read More »

CUF yaibua kasoro uandikishaji daftari la wapiga kura

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimelalamikia zoezi la uandikishaji wa Daftari la Wapiga kura, kikieleza kwamba lina kasoro. Anaripoti Hamis Mguta… (endelea). Malalamiko hayo yametolewa leo tarehe 30 Septemba 2019 jijini ...

Read More »

JPM awachimba mkwara wahujumu uchumi walioukataa msamaha wake

RAIS John Magufuli amewapa angalizo watuhumiwa wa uhujumu uchumi, walioshindwa kutumia fursa ya msamaha alioutoa hivi karibuni. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe ...

Read More »

Watuhumiwa 467 uhujumu uchumi waomba toba, kulipa Bil. 107.1

WATUHUMIWA 467 wa uhujumu wameomba toba, na kukubali kurejesha serikalini fedha walizotafuna zaidi ya Sh. 107.1 bilioni. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hayo amesema Biswalo Mganga, Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini ...

Read More »

Zitto aibuka na mbinu ya kuing’oa CCM

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe aeleza mbinu zitakazotumiwa na chama hicho kukiondoa madarakani  Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa na  uchaguzi mkuu wa mwaka ...

Read More »

Butiku: Tuko kwenye wakati mgumu

MZEE Joseph Butiku, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, amevitaka vyama vya siasa kufuata misingi ya Katiba, ili kuirudisha nchi kwenye mstari ulionyooka. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza ...

Read More »

AZAKI zang’ata na kupuliza utendaji wa JPM

ASASI za Kiraia nchini (AZAKI) zimeipongeza Serikali ya Awamu ya Tano, chini ya Rais John Pombe Magufuli kwa kuboresha huduma za kijamii na usimamizi wa rasilimali za Taifa. Anaripoti Regina ...

Read More »

Kichaa cha Mbwana tishio kwa watoto

UGONJWA wa kichaa cha mbwa umetajwa kuwa tishio kwa watoto wenye umri chini ya miaka 15. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya ...

Read More »

Kongwa, Chalinze wakumbushwa cha kufanya mradi wa usomaji vitabu

IDARA  ya Elimu Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma na Wilaya ya Chalinze, Pwani wametakiwa kuhakikisha wanaendeleza mambo muhimu waliyonufaika na Mradi wa Usomaji wa vitabu vya watoto Children Books Program ...

Read More »

Kigogo CCM aivua nguo UVCCM

KAPTENI Mstaafu, Alhaji Mohammed Ligora aliyewahi kuwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, amewashukia makada wa Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) kwa kushindwa ...

Read More »

Madai ya Katiba Mpya, yaibuka upya

ASASI za Kiraia nchini, zimeikumbusha serikali kutimiza ahadi yake ya upatikanaji wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano, kabla ya mwaka 2021. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza na waandishi wa ...

Read More »

Wazazi watakiwa kushirikiana na walimu kuwajenga watoto

WAZAZI pamoja na walezi wametakiwa kujenga utamaduni wa kushirikiana na walimu ili kuweza kuwajenga watoto katika malezi bora. Anaripoti Danson Kaijage, Moshi … (endelea). Hayo yameelezwa na Meneja msaididi ya ...

Read More »

Mifumo ya Afya yatakiwa kuandikwa kwa kiswahili kusaidia wananchi

KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Zainabu Chaula amewagiza wataalamu wa sekta ya Afya wanaohusika katika kutengeneza nifumo ya takwimu iandaliwe kwa ...

Read More »

Palestina yatoa msimamo UN

RAIS wa Palestina, Mahmoud Abbas amesema, kama Israel itaendelea kukwapua ardhi yake katika mji wa West Bank, itajiondoa kwenye mikataba yote iliyoingia na taifa hilo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). “Wiki ...

Read More »

AZAKI kuzindua ilani ya uchaguzi

ASASI za Kiraia nchini (AZAKI), kesho tarehe 28 Septemba 2019, zimepanga kuzindua ilani ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi mkuu mwakani. Anaripoti Martin Kamote… endelea). Onesmo ...

Read More »

Uhujumu uchumi: Waliotuma maombi kwa DPP watajwa

MAJINA ya watuhumiwa wa kesi ya uhujumu uchumi nchini, waliomwandikia Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), Biswalo Mganga yameanza kutajwa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Tayari Dk Ringo Tenga, Mkurugenzi na Mwanasheria wa Kampuni ...

Read More »

Serikali yaahidi kutoa ushirikiano kwa LHRC

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa kituo cha msaada wa Kisheria na haki za binadamu (LHRC), ili kulinda misingi ya demokrasia ...

Read More »

Waziri Majaliwa: Kama hutoshi, ondoka

KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu amewataka viongozi wa umma wanaojiona hawatoshi katika nafasi walizopo, waachie ngazi. Anaripoti Martin Kamote…(endelea). Majaliwa ametoa kauli hiyo leo tarehe 26 Septemba 2019, wakati akizungumza na watumishi ...

Read More »

Trump aanza kuonja machungu

RAIS wa Marekani, Donald Trump ameanza kuonja machungu baada ya mchakato wa kung’olewa kushika kasi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Kupitia tamko la Nancy Pelosi, Spika wa Bunge la ...

Read More »

Makonda abanwa mbavu

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amebanwa mbavu, na sasa ameamua kulipiza kisasa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). “Mnapiga  majungu yenu, sasa inatosha na mimi nitaanza kuwashughulikia,” ametoa kauli ...

Read More »

Chadema wamweka kwenye kona IGP Sirro

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimempa mtihani mzito Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kimemtaka aache kulalama badala yake afumue mfumo ...

Read More »

Alhaj Mwinyi mwenyekiti mpya MUHAS

RAIS John Magufuli amemteua Alhaji Ali Hassan Mwinyi,  Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS). Anaripoti Regina Mkonde … ...

Read More »

Kauli ya JPM ilivyobadili upepo Coco Beach

KAULI ya Rais John Magufuli kwamba mradi wa kuendeleza ufukwe wa Coco Beach, jijini Dar es Salaam hauna tija, imewafariji wafanyabiashara wa eneo hilo. Anaripoti Martin Kamote… (endelea). Wafanyabiashara hao ...

Read More »

Hakimu amtolea nje Dk. Mashinji, Matiko

OMBI la kusafiri nje ya nchi la Dk. Vincent Mashinji, Katibu Mkuu Chadema na Ester Matiko, Mbunge wa Tarime Mjini, limekataliwa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ...

Read More »

Kauli ya JPM, LHRC yatoa tahadhari

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC), kimetoa wito kwa mamlaka husika kuhakikisha dhana ya makubaliano ya kukiri kosa, inatumika kwa usahihi katika mchakato wa upatikanaji haki. Anaripoti Regina ...

Read More »

IGP Sirro yamemfika pomoni

VITA vya madaraka ndani ya Jeshi la Polisi, vimemfika pomoni mkuu wa jeshi hilo, IGP Simon Sirro. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kauli yake mbele ya maofisa waandamaizi wa jeshi hilo ...

Read More »

Rais Magufuli ateua Mwenyekiti NBS

RAIS John Magufuli amemteua Dk. Amina Msengwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa ya uteuzi huo imetolewa leo tarehe 25 Septemba ...

Read More »

Uhujumu uchumi: Vigogo wafurika kwa DPP

IDADI ya barua za kuomba msamaha kutoka kwa watuhumiwa wa uhujumi uchumi, zinaingia kwa kasi katika ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).   Taarifa zaidi zinaleleza, washtakiwa kutoka ...

Read More »

Watendaji Kata wapewa rungu katika maeneo yao

MKUU wa Wilaya ya Kilosa, Morogoro, Adam Mgowi amewataka watendaji wa kata kufanya kazi ya kusimamia mambo yanayotolewa na Serikali ikiwemo rasilimali fedha, mali, watu na kuhakikisha kila jambo linatimia ...

Read More »

Chadema kwenda na majeruhi wa risasi kortini

UPANDE utetezi kwenye kesi ya uchochezi namba 112/2018, inayowakabili viongozi tisa wa Chadema, umepanga kwenda mahakamani na mashahidi waliojeruhiwa kwa risasi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hata hivyo, leo tarehe 24 ...

Read More »

Tetesi za Ebola: WHO yatuma mjumbe Tanzania

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limetuma mjumbe wake Dk. Tigest Ketsela Mengestu nchini Tanzania, kwa ajili ya kufanya mazungumzo na serikali kuhusu tetesi za uwepo wa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola. ...

Read More »

Tumieni fursa zinazojitokeza-Mavunde

ANTONY Mavunde, Naibu Waziri Ofisi ya Rais anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, amewataka vijana kutumia vyema fursa wanazozipata ili kujiingizia kipato badala ya kukaa vijiweni. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Mbali ...

Read More »

Jaji Warioba: Kuna sintofahamu nchini

JAJI Joseph Sinde Warioba, Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania amesema, kuna dalili za uwepo wa matukio yanayodhoofisha umoja, uzalendo na mshikamano wa Taifa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Jaji Warioba amesema hayo ...

Read More »

Zitto: Naiona ndoto hii

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameendesha maombi ‘maalum,’ kuliombea taifa kupitia ukurasa wake wa twitter. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Katika maombi hayo, Zitto amesema anaiona ndoto yake ya ...

Read More »

JPM ‘aitekenya’ Chadema

USHAURI wa Rais John Magufuli, uliyomtaka Biswalo Maganga, Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DPP), kuangalia namna ya kuzungumza na watuhumiwa wa uhujumu uchumi na kuwaacha huru, imejibiwa vikali na Chadema. ...

Read More »

Zitto ‘afukua makaburi’ Chadema

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amezungumzia tukio la kutimuliwa kwake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwamba lilimpa hamasa. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Amesema, alijiunga na ...

Read More »

Hatma ya Aveva na mwenzake Ijumaa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga kutolea uamuzi juu hatma ya dhamana ya aliyekuwa Rais wa klabu ya Simba, Evance Aveva na Makamu wake, Godfrey Nyange (Kaburu) baada ya upande ...

Read More »

Kuachwa wahujumu uchumi: DPP amjibu JPM

OMBI alilolitoa Rais John Magufuli la kuwaacha huru wahujumu uchumi iwapo watakuwa tayari kurudisha fedha, limeambatana na masharti. Anaripoti Martin Kamote…(endelea). Biswalo Mganga, Mkurugenzi wa Mashtaka nchini amesema, ofisi yake ...

Read More »

JPM ‘aingia’ jimboni kwa Lissu

IMECHUKUA siku saba tu kutekelezwa kauli ya Rais John Magufuli, ya kushughulikia tatizo la maji kwenye jimbo la Singida Mashariki lililokuwa likiongozwa na Tundu Lissu. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Miraji ...

Read More »

Wanafunzi saba waangukiwa jengo, wafariki

WANAFUNZI saba wa Shule ya Msingi Precious Talent, katika eneo la Ngado, Nairobi nchini Kenya wameripotiwa kufariki baada ya kuangukiwa na jengo la darasa. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Tukio hilo ...

Read More »

Benki 5 zalimwa faini Bil 1.8

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imezipiga faini benki tano kwa ukiukwaji wa kanuni za Sheria ya Utakatishaji Fedha Haramu. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na BoT tarehe ...

Read More »

Ajali ya Ndege Serengeti: Wawili wafariki

WATU wawili wamefariki dunia katika ajali ya ndege iliyotokea asubuhi ya leo tarehe 23 Septemba 2019, kwenye uwanja wa ndege mdogo wa Seronera uliko kwenye hifadhi ya Serengeti mkoani Mara. Anaripoti ...

Read More »

Hiki ndio kilio cha mmiliki wa Coco Beach

ALPHONCE Buhatwa, mmiliki wa Hoteli ya Coco Beach iliyopo kwenye fukwe ya Oysterbay, jijini Dar es Salaam iliyoungua moto tarehe 22 Septemba 2019, yupo njiapanda. Anaripoti Hamis Mguta… (endelea). Namna ...

Read More »

Rais Magufuli agusa maisha ya Rugemarila, Seth

RAIS John Magufuli ameshauri wafungwa walioko mahabusu kwa tuhuma za uhujumu uchumi, kama wako tayari kuomba radhi na kuzirudisha fedha walizotafuna, watolewe. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Miongoni mwa wafungwa ...

Read More »

Moto wateketeza jengo Coco Beach

JENGO moja katika fukwe ya Coco Beach, limeteketea kwa moto mchana wa leo tarehe 22 Septemba 2019. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Jenipher Shirima, Kamanda wa Zimamoto Kinondoni amesema, chanzo ...

Read More »

Siku nane za Mbowe, wenzake kujinasau kizimban

VIONGOZI tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wanatarajiwa kuanza kujitetea kwa siku nane mfululizo. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Ni katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya ...

Read More »

IGP Sirro aonya Polisi kujihusisha na siasa

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewataka askari polisi kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria, na kukwepa kujihusisha na masuala ya siasa. Anaripoti Faki Sosi … ...

Read More »

Mlipuko wa bomu wauwa mmoja na kujeruhi wawili Kibaha

MBARAKA Koromera (37) amepoteza maisha na wengine wawili kujeruhiwa katika mlipuko wa kifaa kinachodhaniwa kuwa bomu, uliotokea maeneo ya Msangani wilayani Kibaha mkoa wa Pwani. Anaripoti Hamisi Mguta…(endelea). ACP Wankyo ...

Read More »

Serikali yatoa majibu sintofahamu zao la korosho

SERIKALI yatoa majibu kuhusu sintofahamu ya zao la korosho, iliyojitokeza kufuatia hatua yake ya kuingilia kati uuzaji wa korosho ghafi za msimu wa mwaka 2018/2019. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Akizungumza na ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram