Friday , 19 April 2024

Month: August 2019

Habari Mchanganyiko

Mkemia Mkuu atambua miili 50 ajali ya Moro

OFISI ya Mkemia Mkuu wa Serikali imefanikiwa kutambua miili 50 kati ya 69 ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya moto wa lori...

Habari za Siasa

Rais Magufuli aagiza wanaochunguza masuala nyeti walindwe

RAIS John Magufuli ameagiza vyombo vya dola kulinda watumishi wa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali wanaochunguza masuala mazito, ili wasiingiliwe katika utekelezaji...

Habari Mchanganyiko

Makonda ajitumbukiza kwa wapendanao

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amepanga kuendesha mjadala kuhusu masuala ya uhusiano wa mapenzi. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea)....

Michezo

Manara afunguka nafasi yake kuchukuliwa Simba

MSEMAJI wa Simba, Haji Manara ametolea ufafanuzi swala la nafasi yake kama mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano ndani ya klabu hiyo....

Habari za Siasa

Pamoja na madhira niliyopitia bado niko imara – Kubenea

MBUNGE mahiri wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), katika jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amedaikuwa pamoja na vitimbwi na mateso anayopitia, “badoataendelea kusimama...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Mawakili wavutana, mahakama yarudia kutazama video

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeamua kutazama upya ushahidi wa video iliowasilishwa na shahidi namba sita wa Jamhuri (koplo Charles), katika kesi ya...

Habari Mchanganyiko

Machinga Makoroboi Mwanza walia na viongozi kuuza maeneo

WAFANYABIASHARA ndogo ndogo (machinga) katika soko maarufu la Makoroboi jijini Mwanza, wanaulalamikia uongozi wa Muungano wa Machinga Tanzania (Shiuma) kutokana na vitendo vyao...

Habari Mchanganyiko

AfDB yaikopa Tanzania Bil 414 kuipendezesha Dodoma

SERIKALI ya Tanzania imepewa mkopo wenye masharti nafuu wa zaidi ya Sh. 414 bilioni kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kwa ajili...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya vigogo wa Chadema, yamuibua Waitara mahakamani

WAKILI wa upande wa utetezi katika kesi ya jinai inayomkabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na baadhi ya viongozi wenzake, Peter Kibatara, amehoji...

Habari Mchanganyiko

Mkurugenzi TPDC, wenzake wafutiwa kesi

JAMES Mataragio, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petrol (TPDC), ameachwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo tarehe 19 Agosti 2019. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Kilichoonekana kwenye video ya Mbowe Kisutu

VIDEO ya Freeman Mbowe na wenzake, iliyoibua mvutano katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam hatimaye imeoneshwa leo tarehe 19...

Habari za SiasaTangulizi

Video ya Mbowe, wenzake sasa kuoneshwa kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeridhia kuoneshwa video inayodaiwa kubeba matukio yanayomuhusisha Freeman Mbowe na wenzake wakati wa kampeni...

Habari Mchanganyiko

Hali tete MNH: waliofariki ajali ya moto Moro wafika 97

IDADI ya majeruhi wa ajali ya Lori la mafuta ya petrol lililopinduka na kuwaka moto mkoani Morogoro, na kisha kupatiwa matibabu katika Hospitali...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hakimu, Serikali wakwamisha kesi ya Kabendera

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imehairisha kesi namba 75 ya mwaka 2019 inayomkabili mwandishi wa kujitegemea wa habari za uchunguzi nchini, Erick Kabendera...

Habari za Siasa

Mambo yatakayofanywa na SADC chini ya Rais Magufuli

JANA tarehe 18 Agosti 2019 Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi 16 mwanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ulifungwa...

Habari za SiasaTangulizi

Tanzania yaanza kupata kibano cha kimataifa

KIBINYO kinachotokana na hatua ya serikali kugandamiza demokrasia nchini, kimeanza kuutafuna utawala wa sasa. Anaripoti Mwandishi Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa kutoka mataifa...

Habari Mchanganyiko

Serikali kupiga mnada mamba, viboko

DAKTARI Hamisi Kigwangalla, Waziri wa Maliasili na Utalii amesema serikali imeamua kuuza asilimia 10 ya mamba wote nchini ili kupunguza changamoto ya wanyama...

Habari za Siasa

Rais Magufuli akabidhiwa Uenyekiti SADC, awatoa hofu wanachama

RAIS John Magufuli leo tarehe 17 Agosti 2019 amekabidhiwa rasmi uenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari Mchanganyiko

Palestina yawalilia waliopoteza maisha ajali ya moto Morogoro 

NCHI ya Palestina imetoa pole kwa serikali ya Tanzania kufuatia vifo vya watu 93 vilivyotokea katika ajali ya mlipuko wa tenki la mafuta...

AfyaHabari Mchanganyiko

Nusu ya majeruhi Morogoro waliohamishiwa Muhimbili wafariki

MAJERUHI wanne kati ya 25 wa ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro waliokuwa wanaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wamepoteza...

Habari za Siasa

Polisi wavamia mkutano wa Zitto

MAOFISA kutoka Jeshi la Polisi limevamia Makao Makuu ya Chama cha ACT-Wazalendo na kuondoka na Ado Shaibu, Katibu wa Itikadi na Uenezi. Anaripoti Hamis...

Habari Mchanganyiko

Ajali nyingine Moro, wanne wafariki 

WATU wanne wamepoteza maisha huku 26 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la Safari Njema likitokea Dar es Salaam lilipogongana na Lori...

Habari za SiasaTangulizi

Mambo matatu mazito kwenye kesi ya Lissu

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amemnyima aliyekuwa mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu, maamuzi...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Lissu & Ndugai sasa yaanza kuiva

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, imepanga kuanza kusikiliza shauri la madai lililofunguliwa na Alute Mughwai, kupinga kuvuliwa ubunge kwa Tundu Lissu,...

Habari za Siasa

JPM, Ramaphosa wajadili biashara, uwekezaji, ulinzi

DAKTARI John Magufuli, Rais wa Tanzania leo tarehe 15 Agosti 2019, amefanya mazungumzo na Cyril Ramaphosa, Rais wa Afrika Kusini, kuhusu ushirikiano wa...

Habari Mchanganyiko

Papa aridhia Kadinali Pengo kustaafu, Askofu Ruwa’ichi ampokea

OMBI la Kadinali Polycarp Pengo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam kung’atuka madarakani, limeridhiwa na Papa Francisko. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Mwanza yatekeleza miradi ya maji ya 788 Bil

JUMLA ya miradi 17 ya kimkakati katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, yenye thamani ya Sh. 788 bilioni inaendelea kutekelezwa. Anaripoti Moses Mseti, Mwanza …...

Habari Mchanganyiko

‘Mganga mfufuaji’ adakwa Ruvuma

DEO Mapunda, mkazi wa Ruvuma anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kutapeli wananchi kwa kujifanya mganga wa kienyeji. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari Mchanganyiko

Ajali ya moto Moro: Vifo vyaongezeka

MAJERUHI saba kati ya 32 waliokuwa wakiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), wamefariki dunia usiku wa kumkia leo tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

Shughuli pevu: Ni Lissu Vs Ndugai kortini

KESI inayotarajiwa kuwa mashuhuri na ya aina yake kati ya Tundu Lissu, aliyevuliwa ubunge wa Jimbo la Singida Mashariki dhidi ya Job Ndugai,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020: Makaburi ya Albino yaanza kufukuliwa

WATU wasiofahamika, wamefukua baadhi ya makaburi ya watu wenye Ualbino katika maeneo kadhaa nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa za karibuni kabisa...

Habari Mchanganyiko

Waziri Mkuu Majaliwa mgeni rasmi Siku ya Vijana Duniani

KASIM Majaliwa, Waziri MKuu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi leo katika Maadhimisho ya Siku ya Vijana duniani, ambapo kitaifa yanafanyika jijini Dodoma. Anaripoti Danson Kaijage,...

Habari za SiasaTangulizi

Video ya Mbowe: Ni kusuka au kunyoa

SWALI ni je, video iliyopokewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ikidaiwa kuonesha matukio yanayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake kwenye mkutano wa kufunga...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sheikh Ponda ‘watu wasiojulikana’ wanaichafua nchi

SHEIKH Issa Ponda, Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, amesema kuwa vitendo vya utekaji vinavyodaiwa kufanywa na watu wasiojulikana vinaichafua...

Habari Mchanganyiko

Mufti Zubeir: Tunachonganishwa

SHEIKH Abubakar Zubeir, Mufti Mkuu wa Tanzania ‘amelalamikia’ kuchongwanishwa kwa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata) na serikali. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari za Siasa

Jumuiya ya Waislamu yalilia Tume Huru ya Uchaguzi 

KUELEKEA maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania imeiomba serikali kuunda Tume Huru ya Uchaguzi ili kuleta...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi wa Sita kumzamisha Zitto?

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, anayetuhumiwa na tuhuma za uchochezi, kesho shahidi wa sita anatarajiwa kutoa ushahidi dhidi yake. Anaandika...

Habari Mchanganyiko

Waziri Mkuu aongoza watanzania mazishi ya watu waliofariki ajali ya moto

KASSIM Majaliwa Waziri Mkuu Tanzania ameongoza maelfu ya watanzania mazishi ya watu zaidi ya 60 waliofariki kwenye mlipuko wa  lori la mafuta  baada...

Habari za Siasa

Kubenea kuingia na hoja ya watu wenye Ualbino bungeni

MBUNGE wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea, amepanga kuwasilisha hoja binasfi bungeni, kushinikiza serikali kuridhia Itifaki ya pamoja ya Mkataba wa Afrika wa haki...

Habari Mchanganyiko

Kukamatwa kwa Kabendera utata mtupu

KUKAMATWA na kushtakiwa kwa Mwandishi wa Habari za uchunguzi Erick Kabendera kumedaiwa kuwa kuna mashaka. Anaaripoti Faki Sosi … (endelea). Tamko la wadau wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Waziri Mkuu Majaliwa aunda tuwe kuchunguza ajali ya moto Morogoro

WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali imeunda tume ya wataalam mbalimbali kuchunguza kama mamlaka za serikali ziliwajibika ipasavyo katika kudhibiti ajali ya moto...

Tangulizi

JPM atembelea majeruhi, serikali kubeba gharama zote

RAIS John Magufuli amewajulia hali majeruhi 43 wa ajali ya mlipuko wa lori la mafuta iliyotokea mkoani Morogoro, waliohamishiwa katika Hospitali ya Taifa...

Habari Mchanganyiko

Viongozi wa Serikali watua Morogoro kuweka mambo sawa ajali ya moto

BAADA ya vifo vya watu takribani 60 vilivyotokana na lori la mafuta kuwaka moto mkoani Morogoro viongozi mbalimbali wamewasili mkoani hapa kwa ajili...

Habari za SiasaTangulizi

Si akili zao, ni kufilisika

KUFILISIKA huwa hakupigi goti. Wala anayefilisika huwa hajijui; huwa anadhani kilichopungua leo atafidia kesho. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Mfano, mfanyabiashara wa duka, kwa...

Habari Mchanganyiko

Vifo vya ajali ya lori la mafuta vyaishtua serikali, vyama vya siasa

SERIKALI na vyama vya siasa nchini vimetuma salamu za pole kufuatia vifo vya watu 60 na majeruhi 70 vilivyotokea kwenye mlipuko wa lori...

Habari Mchanganyiko

Lukuvi aunda tume maalum kuchunguza maafisa 183 wa Ardhi

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ametoa siku 30 kwa timu maalum iliyoundwa kuchunguza maafisa ardhi 183 waliosimamishwa kazi...

Habari Mchanganyiko

Magereza watoa elimu ya matofali ya kuchoma, kuepusha mazingira

ILI kuepuka kufanya uharibifu wa mazingira ikiwemo ukataji miti hovyo, Jeshi la Magereza limeitaka jamii kujifunza njia mbadala ya ufyatuaji matofali ya kuchoma...

Habari MchanganyikoTangulizi

Lori lalipuka na kuteketeza watu zaidi 60

TAKRIBANI watu 60 wanaohofiwa kufariki dunia huku wengine mamia wakiungua moto baada ya lori la mafuta kupinduka na baadaye kuwaka moto, katika eneo...

MichezoTangulizi

Wikiendi ngumu: Kule Simba SC, huku Yanga

TOFAUTI na misimu iliyopita, msimu huu 2019/20 mambo yamechenji kidogo. Simba na Yanga zinatarajiwa kufungua msimu huu kwenye michuano ya kimataifa Jumamosi wiki...

Elimu

Walimu walionyimwa stahiki zao wamchongea Mkurugenzi kwa Jafo

WALIMU watano waliohamishwa kutoka kituo cha kazi cha shule ya sekondari Kisasa katika Jiji la Dodoma na kupangwa kwenye vituo vingine bila kulipwa...

error: Content is protected !!