Daily Archives: August 8, 2019

Green Mile yamgomea Kigwangalla

KAMPUNI ya Uwindaji ya Green Mile imeendelea kuvutana na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla, kwa kile walichodai kuwa wataendelea na shughuli zao. Anaripotia Mwandishi Wetu …(endelea). Akizungumza na ...

Read More »

Nanenane: Mikakati kuiinua Simiyu yawekwa hadharani

ANTHONY Mtaka, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu ameeleza mikakati ya kupunguza umasikini mkoani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ripoti ya Hali ya Umasikini kwa mwaka 2017/18, iliyotolewa na Ofisi ...

Read More »

Zitto aeleza ndoto ya ACT-Wazalendo 2020-2025

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeanza kueleza mikakati yake, iwapo kitapewa mamlaka ya kuiongoza Tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo na ...

Read More »

Tundu Lissu afungua kesi ya kihistoria  

HATIMAYE yametimia. Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu, ametinga mahakamani kupinga hatua ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kumvua ubunge wake. ...

Read More »

Serikali, Green Miles wavutana

WAKATI serikali ikieleza kufuta umiliki wa kitalu cha uwindaji wa kitalii cha Lake Natron (East), kilichokuwa kinamilikiwa na Kampuni ya Uwindaji wa Kampuni ya Green Miles, kampuni hiyo imeeleza kuendelea ...

Read More »

Wafanyabaishara 12 wakamatwa wakiwa na mamilioni ya fedha

JESHI la Polisi mkoani Tanga, linawashikilia wafanyabaishara 12 wanaodaiwa kufanya biashara ya ubadilishaji fedha za kigeni bila leseni ya biashara hiyo kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Anaripoti Regina Mkonde … ...

Read More »

Simulizi msisimko majeruhi ajali ya ndege Mafia

HASSAN Bakari Ali, majeruhi wa ajali ya ndege iliyotokea Mafia wilayani Pwani, ameeleza kilichomtokea. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Ajali hiyo ilitokea Jumanne tarehe 6 Agosti 2019 wakati ndege hiyo ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram