Friday , 19 April 2024

Day: August 7, 2019

Habari Mchanganyiko

Wizara Viwanda, Kilimo washirikiane – Mhandisi Manyanya

WIZARA ya Viwanda na Biashara lazima ishirikiane na Wizara ya Kilimo ili kuleta tija kwa wakulima na wafugaji. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kauli hiyo...

Habari Mchanganyiko

Mpina: Operesheni hii marufuku

OPERESHENI ya kuwaondoa wakazi wa Kijiji cha Vilimavitatu wilayani Babati, Manyara katika eneo linalodaiwa kuwa la hifadhi ya Burunge (Juhibu), imesitishwa. Anaandika Hamis Mguta…(endelea)....

MichezoTangulizi

Manara aburuzwa kortini, adaiwa Mil 83

HAJI Manara, Msemaji wa Klabu ya Simba na wenzake watatu, tarehe 6 Agosti 2019 wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kudaiwa Sh. 83.5 milioni....

Habari Mchanganyiko

Mgogoro: Nyumba, mbuzi vyachomwa moto

NYUMBA ya Tryphone Jeremiah, mkazi wa kijiji Kijiji cha Kishanda B, kilichopo kwenye Kata ya Kibale, Kyerwa mkoani Kagera imechomwa moto. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea).  ...

error: Content is protected !!