Daily Archives: August 5, 2019

Akamatwa na stika 2,546 za Viza

IDARA ya Uhamiaji nchini, imemkamata Jasmin Ngongolo, mkazi wa Dar es Salaam akiwa na stika za Viza 2,546 za Tanzania za kughushi. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Mwanamke huyo alikamatwa tarehe ...

Read More »

Wafanyabiashara Dodoma wafurushwa

WAFANYABIASHARA katika maeneo ya wazi jijini Dodoma, wameulalamikia uongozi wa jiji hilo kwa kuwafurusha katika maeneo hayo ndani ya siku 30. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Wanasema, wamekuwa wakimiliki ...

Read More »

Wizara ya Afya kudhibiti Kifua Kikuu Magereza 15

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Jeshi la Magereza imeanzisha kampeni ya kutokomeza ugonjwa wa Kifua Kikuu katika magereza nchini. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). ...

Read More »

Bodaboda wapumzishwa kuingia mjini, ving’ora, ‘spotlight’ marufuku

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku usafiri wa pikipiki ‘Bodaboda’ kuingia maeneo ya mjini kuanzia tarehe 6 hadi 18 Agosti 2019. Anaripoti Regina Mkonde …(endelea). Akizungumza ...

Read More »

Mwandishi Kabendera, afunguliwa kesi ya kushirikiana na wahalifu

MWANDISHI wa habari za uchunguzi nchini, Erick Kabendera, hatimaye amefikishwa mahakamani kwa makosa matatu, likiwamo utakatishaji fedha na kushirikiana na kinachoitwa, “makundi ya kihalifu.” Anaripoti Faki Sosi … (endelea).  Kabendera aliyekamatwa ...

Read More »

Rais Magufuli: Hatuna nguvu 

NCHI za Afrika hazina nguvu katika soko la kimataifa hasa kwenye malighafi, hupangiwa bei ya kuuza kwa wenye viwanda. Anaripoti Regia Mkonde … (endelea). Rais John Magufuli ametoa kauli hiyo leo ...

Read More »

CUF yampigia goti Rais Magufuli 

CHAMA Cha Wananchi (CUF), kinaugulia maumivi ya kutofanya mikutano ya kisiasa hasa muda huu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa baadaye mwaka huu. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Maumivu hayo ...

Read More »

Nanenane Singida, Dodoma iwe endelevu – Waziri Jafo

SELEMAN Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ametoa maagizo kwa wakuu wa mikoa ya Dodoma na Singida na halmashauri zote kuhakikisha, ...

Read More »

Halima Mdee: Mama aliniambia maneno makali

MAMA yangu aliniambia, Mungu alimuepusha uchungu mkali wakati wa kunizaa lakini sasa anapata machungu makali kila siku katika utu uzima wangu. Anaandika Hamis Mguta…(endelea). Ni kauli ya Halima Mdee, Mwenyekiti ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram