Daily Archives: August 2, 2019

Serikali yaenda kufanya upekuzi mwingine kwa Kabendera

ERICK Matugwa Kabendera, mwandishi wa habari za kichunguzi, mtafiti, na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, uchumi na usalama wa kikanda, bado anaendelea kushikiliwa na vyombo vya usalama nchini Tanzania, kwa ...

Read More »

Wafanyakazi wa Tigo matatani

WAFANYAKAZI wa Mtandao wa Tigo wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kudukua taarifa za miamala ya pesa ya wateja kwa nia ...

Read More »

Jezi za Yanga zaanza vizuri, yauzwa kwa laki tano

KLABU ya Yanga imetambulisha jezi za nyumbani na ugenini itakayotumika kwenye michezo ya Ligi Kuu na klabu bingwa Afrika kwa msimu wa 2019/20 kwa upande wa nyumbani na ugenini ambapo ...

Read More »

Safari za mabasi usiku zapigwa ‘stop’

JESHI la Polisi limetangaza kusitisha safari za usiku kwa baadhi ya magari ya abiria yanayokwenda mikoani. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). CP Liberatus Sabas, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa jeshi hilo ...

Read More »

Jinsi polisi wavyopambana na dawa za kulevya Aprili – Juni 2019

JUMLA ya watu 2,085 wamekamatwa kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi, kuanzia Aprili hadi Juni 2019. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Takwimu hizo zimetolewa mbele ya wanahabari na ...

Read More »

Mamia wamuaga kaka yake Mbowe

MAMIA ya watu leo tarehe 2 Agosti 2019, wamejitokeza katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Nshara Machame kuuagwa mwili wa Meja Jenerali mstaafu, Alfred Mbowe. Anaripoti Faki ...

Read More »

Wanaume wabanwa likizo ya uzazi

WANAUME wanaopewa likizo ya uzazi, wameshauriwa kutumia vizuri kwa kumsaidia mama aliyejifungua, na kwamba ni kwa mujibu wa sheria ya kazi na ajira ya mwaka 2004. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram