Daily Archives: August 1, 2019

Rais Magufuli amsifu Jakaya Kikwete

RAIS John Magufuli amemshukuru Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete kwa kuanzisha ujenzi wa Jengo la Tatu la Abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu ...

Read More »

Msani/Diwani ACT-Wazalendo atupwa jela

MSANII wa kizazi kipya na mwanasiasa wa upinzani nchini Clayton Chipando maarufu kwa jina la Baba Levo, leo tarehe 1 Agosti 2019 amehukumiwa kwenda jela kwa miezi mitano. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Dhamana ya mwandishi Kabendera Agosti 5

MAOMBI ya dhamana Namba 14 ya mwaka 2019 ya mwanahabari Erick Kabendera, yanatarajiwa kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam tarehe 5 Agosti 2019. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

SAKATA LA MADED KUSIMAMIA UCHAGUZI: Mahakama ya Rufaa yajiweka mtegoni

JUZI Jummane, tarehe 30 Julai 2019, Mahakama ya Rufaa ya Jamhuri ya Muungano, ilisikiliza rufaa iliyokatwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wenzake wawili, kupinga maamuzi ya Mahakama Kuu, kuwazuia ...

Read More »

MO Dewji aelewa somo la JPM

MOHAMMED Dewji ‘Mo’, Mkurugenzi wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Ltd (METL), amempongeza Rais John Magufuli kwa jitihada zake za kuleta mageuzi  katika sekta ya usafirishaji, viwanda na miundombinu. Anaripoti Regina ...

Read More »

Maalim Seif: Hiki ndicho kilichowaponza UAMSHO

SIASA za kukomoana zimetamalaki Zanzibar na hiki ndicho kilichosababisha viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar kusota rumande bila sababu za kueleweka. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Zanzibar … ...

Read More »

Kifo cha Mhandisi Lwajabe: Maswali bila majibu 

JESHI la Polisi jana tarehe 31 Julai 2019, lilitoa ripoti yake fupi ya uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Miradi ya Umoja wa Ulaya (EU), katika Wizara ya Fedha, ...

Read More »

TRA: Nusu mwaka tumekusanya 15.9 Tril

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imekusanya kiasi cha Sh. 15.9 Trilioni katika kipindi cha nusu mwaka wa 2018/19. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa tarehe 31 Julai 2019 na ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram