Monthly Archives: August 2019

IGP Sirro: Sasa washughulikieni wauaji

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro ameagiza polisi nchini kuwachukulia hatua watu wanaoua wenzao kwa kuwatuhumu ushirikina. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). IGP Sirro ametoa agizo wakati akizungumza na maofisa ...

Read More »

DC Nyamongo: Jiungeni CHF ili mnufaike

VUMILIA Nyamoga, Mkuu wa Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, amewataka watendaji wa wilaya hiyo kutoa elimu ili wananchi waweze kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF). Anaripoti Dandosn Kaijage, Dodoma…(endelea). ...

Read More »

Sakata la ATCL: Serikali, Musiba waungana

SIKU chache kupita baada ya Cyrispian Musiba, anayejitambulisha kuwa mtetezi wa Rais John Magufuli kudai, kukamatwa kwa ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) nchini Afrika Kusini ni hujuma, ...

Read More »

Kibatala amkwamisha mteja wake Mbowe

WAKILI wa utetezi, Peter Kibatala amekwamisha kesi ya uchochezi inayomkabili Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa na wenzake. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Wakili huyo hakutokea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo ...

Read More »

Masikini! Mwandishi Kabendera apooza mguu

ERICK Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi ndani nje ya nchi, amepatwa na tatizo la kupooza mguu akiwa gerezani. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Taarifa ya wakili wake Jebra Kambole leo tarehe 30 ...

Read More »

Polisi laua watatu, lakamata silaha

JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es salaam limeua watu watatu wanaodai kuwa majambazi na kukamata silaha mbili aina ya Shortgun na Bastola. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Lazaro Mambosasa, Kamanda wa Polisi ...

Read More »

Shahidi amsukumia ‘zigo’ Mbowe, wenzake

SHAHIDI namba 7 katika kesi Namba 112 ya mwaka 2018, inayowakabili viongozi wa Chadema katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, amedai kwamba ni kosa mawakala wa uchaguzi kufuata barua za ...

Read More »

IGP Sirro tuhumani

HATUA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuendelea kufanya mikutano ya siasa huku vyama vingine vikinyimwa uhuru huo, sasa inapigiwa yowe. Anaripoti Danson Kaijage…(endelea). IGP Simon Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi ...

Read More »

Waziri Mwakyembe aibuka na wazo jipya

BODI ya Filamu, Baraza la Sanaa na Chama cha Hatimliki (Basata), vimeshauriwa kuungana ili vifanye kazi kwa pamoja. Anaripoti Martin Kamote…(endelea). Ushauri huo umetolewa leo tarehe 28 Agosti 2019 na ...

Read More »

Dk. Bashiru: Kweli vyuma vimekaza

DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema “ni kweli vyuma vimekazi” akaongeza “kwa wale wapiga dili.” Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kiongozi huyo wa chama tawala, yumo jijini Dar ...

Read More »

Sakata la ATCL: TLS yamvaa Musiba

CHAMA cha Mawakili Tanzania Bara (TLS), kimelaani shutuma zinazoelekezwa kwa mawakili kwamba hawana uzalendo, wakihusishwa na kukamatwa kwa ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) nchini Afrika Kusini. Anaripoti ...

Read More »

Sakata la ATCL: Ubalozi wa Afrika Kusini – Tanzania ‘wavamia’

KUNDI la watu wachache limejitokeza leo tarehe 28 Agosti 2019, kwenye ofisi za ubalozi wa Afrika Kusini, uliopo kwenye barabara wa Shabani Robert jijini Dar es Salaam, wakishinikiza mahakama ya ...

Read More »

Ahadi ya Dk. Bashiru kwa wagombea CCM

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, ameahidi kuwapitisha kwenye ‘tanuri’ wagombea wa chama hicho kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa utaofanyika tarehe 24 Novemba 2019. Anaandika ...

Read More »

Sakata la ATCL: Mwigulu, Lema ‘wachapana’

SAKATA la kushikiliwa ndege ya Shirika la Ndege Tanzania Limited (ATCL) nchini Afrika Kusini kwa amri ya mahakama, limechochea mvutano baina ya wabunge wawili vijana, Mwigulu Nchemba wa Iramba Magharibi ...

Read More »

Kauli ya DC Kigamboni yakera wanaharakati, wamvaa

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), kimetoa wito kwa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma kuwachukuliwa hatua viongozi wanaokiuka misingi ya utawala bora, sheria pamoja na ...

Read More »

Jacqueline Mengi ajitokeza ‘nawapenda’

MJANE wa hayati Dk. Reginald Mengi, Jacqueline Mengi amesema, mambo magumu wanayoyapitia wajane sasa na yeye anayapitia. Anaripoti Martin Kamote…(endelea). Jacqueline ametoa kauli hiyo leo tarehe 26 Agosti 2019, alipotembelewa ...

Read More »

Kesi ya kuvuliwa Ubunge: Lissu aiangusha Serikali

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo tarehe 26 Agosti 2019, imetupilia mbali pingazi la Jamhuri kutaka kutosikilizwa ombi la Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki. Anaripoti Kelvin ...

Read More »

Serikali kufufua shirika la uvuvi

SERIKALI imesema, iko mbioni kufufua Shirika la Uvuvi la Taifa (TAFICO), ambalo litawekeza katika uvuvi wa samaki kwenye ukanda wa bahari kuu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Dk. Rashidi Tamatama, ...

Read More »

Kesi ya Halima Mdee: Hakimu atoa ukomo 

MHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkuu, jijini Dar es Salaam imetoa ukomo wa kesi inayomkabili Halima Mdee, Mbunge wa Kawe (Chadema) ya kumtolea lugha chafu Rais John Magufuli. Anaripoti Regina Mkonde … ...

Read More »

Z’bar itafakari kauli ya Polepole

TANGU Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole afanye ziara ya kikazi Zanzibar mwaka jana, akili za wanachama na hasa wale wenye ushawishi katika kufikiwa ...

Read More »

Viongozi ACT-Wazalendo, mwanahabari wakwama

VIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo pamoja na mwanahabari Haruna Mapunda, wamekwama kufikishwa mahakamani kutokana na jalada lao kupelekwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kauli hiyo imetolewa ...

Read More »

Lissu Vs Ndugai; Mambo hadharani leo

HATIMA ya mvutano kati ya mawakili wa Jamhuri na utetezi upande wa Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki unatarajiwa kutatuliwa leo tarehe 26 Agosti 2019. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). ...

Read More »

Jinsi kifo cha kigogo wa Hazina kilivyotokea

JOHANNES Kahangwa (49), aliyefariki 19 Agosti 2019, baada ya kuitumikia Hazina kama Mchumi Mkuu wa Miradi ya Umoja wa Ulaya, amezikwa tarehe 24 Agosti 2018 kijijini kwao Kibona, Kata ya ...

Read More »

Mwandishi wa THRDC aachiwa kwa dhamana Iringa

MWANDISHI Joseph Gandye, Mhariri wa Maudhui wa Watetezi TV ameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi mkoani Iringa, alikokuwa anashikiliwa kwa kosa la kuchapisha habari za uongo mtandaoni. Anaripoti Regina ...

Read More »

Madeni yaiweka njiapanda ATCL

MADENI yanayoliandama shirika la ndege la taifa (ATCL), yanazidi kushika kasi, kufuatia mmoja wa wadeni wake, kupata amri ya mahakama kuzuia moja ya ndege yake, kuondoka nchini Afrika Kusini. Anaripoti ...

Read More »

Chadema watoa neno Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

JOHN Mrema, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, ameitaka Serikali kutoa kanuni mapema na kutangaza tarehe ya uchaguzi wa serikali za mitaa ili chama hicho ...

Read More »

Kukamatwa mwanahabari: THRDC yaomba tume huru ya uchunguzi

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeiomba serikali iunde tume huru kwa ajili ya kuchunguza madai ya baadhi ya polisi katika Kituo cha Polisi Mafinga mkoani Iringa, ...

Read More »

Polisi wazuia mkutano wa Maalim Seif Temeke

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimezuiwa kufanya mkutano wake wa ndani na Jeshi la Polisi mkoa wa Kipolisi Temeke kutokana na kukosa kibali. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Chama hicho kilipanga kufanya ...

Read More »

Mawakili waandamizi 15 wa Serikali wahenya kumzuia Lissu

SAA karibu 12 zilizoandamana na vipindi viwili vya mapumziko vilivyochukua jumla ya dakika kumi hivi, zilimtosha Jaji Sillius Matupa wa Mahakama Kuu kutamka kuwa anafunga usikilizaji wa shauri na kutaka ...

Read More »

 ATCL yatangaza mabadiliko ya ratiba za ndege

SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) leo tarehe 24 Agosti 2019 limetangaza mabadiliko ya ratiba zake za safari za ndege. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). ATCL imetangaza mabadiliko hayo kupitia ...

Read More »

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 24 – Serikali

KITENDAWILI kuhusu tarehe rasmi ya kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, sasa kimeteguliwa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Seleman Jafo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa ...

Read More »

Serikali yaombwa kuboresha michoro ya Usandaweni

SERIKALI kupitia Wizara ya Malisili na Utalii imeshauriwa kuhakikisha inaendeleza na kutangaza vivutio ambavyo vinaonekana kusaulika kama vile michoro ya mapangoni iliyopo Usandaweni Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma. Anaripoti Danson ...

Read More »

Polisi ‘wambeba’ mwandishi waliyemkamata kwenda Iringa

MWANDISHI wa Habari za Uchunguzi nchini Tanzania, Joseph Gandye alfajiri la leo tarehe 23 Agosti 2019, amesafirishwa kwenda mkoani Iringa. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Taarifa za awali zilieleza, Jeshi la Polisi ...

Read More »

Mwandishi wa habari mwingine wa uchunguzi mbaroni

MWANDISHI wa Habari za Uchunguzi  wa mtandao wa Watetezi TV, Jeseph Gadye anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kudaiwa kufanya uchochezi na kuchapoisha habari za uongo. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). ...

Read More »

Wakili wa Mbowe alivyombana kwenye ‘kona’ shahidi wa Jamhuri

BAADA ya shahidi namba saba wa Jamhuri, Victoria Wihenge kumaliza kutoa ushidi wake kwenye kesi ya uchochezi namba 112/2018 inayomuhusu Freeman Mbowe, Mwenyekiti Chadema Taifa na wenzake wanane, alihojiwa na ...

Read More »

Rais Shein kufungua mkutano wa Jumuiya ya Madola

RAIS wa Zanzibar Dk. Ally Mohamed Shein, anatarajia kufungua mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola, Kanda ya  Afrika tarehe 30 Agosti 30 2019, Visiwani Zanzibar. ...

Read More »

Kesi ya Mbowe: Kitimtim kortini, Hakimu ‘nitaita polisi’  

MVUTANO umeibuka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kati ya upande wa Jamhuri na ule wa utetezi kwenye kesi ya uchochezi namba 112/2018 inayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake wanane. Anaripoti ...

Read More »

Kamati ya Bunge yagomea ripoti, hekaheka Halmashauri Nyang’wale

HATUA ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), kugomea taarifa ya Halmashauri ya Nyang’wale, Geita kwa madai kwamba kuna ufisadi wa zaidi ya Sh ...

Read More »

NIDA watakiwa kuongeza ofisi za kutoa vitambulisho

MKUU wa mkoa wa Morogoro Dk. Kebwe Steven Kebwe ameiagiza ofisi ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) mkoa, kuongeza vituo vya  kutolea huduma katika wilaya zote ili kuwasaidia wananchi ...

Read More »

Wanafunzi Mivumoni Islamic wavumbua kifaa kuashiria moto

WANAFUNZI wa Kidato cha Nne wa mchepuo wa sayansi katika Shule ya Sekondari ya Kiislamu ya Mivumoni – Kindondoni, Mtambani jijini Dar es Salaam, wameunda kifaa chenye uwezo wa kutambua ...

Read More »

Mwenge wapitisha miradi Ikungi, DC Mpogolo apongezwa

EDWARD Mpogolo, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Singida amepongezwa kwa kusimamia miradi ya maendeleo ndani ya muda mfupi tangu ateuliwe kwenye nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Pongezi hizo zimetolewa na ...

Read More »

Balozi Palestina ampongeza JPM

BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour AbuAli amempongeza Rais John Magufuli na serikali yake kwa kuimarisha uchumi wa nchi yake. Anaripoti Yusuph Katimba…(endelea).  Amesema, Rais Magufuli anasimamia dhamira yake ...

Read More »

Mpina avunja bodi ya maziwa

UTENDAJI mbovu wa Bodi ya Maziwa, umemsukuma Luhaga Mpina, Waziri wa Mifugo na Uvuvi nchini Tanzania kuvunja bodi hiyo. Anaripoti Hamisi Mguta…(endelea). Katika taarifa yake leo tarehe 22 Agosti 2019 ...

Read More »

Prof. Kabudi: Afrika hakuna kama Mwl. Nyerere

WAZIRI wa Mambo ya Nje ya Nchi, Prof. Palamagamba Kabudi amesema, hakuna kiongozi aliyefanya makubwa Afrika zaidi ya Rais wa Awamu ya Kwanza, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Anaripoti Hamis Mguta … ...

Read More »

Kesi ya Mbowe: Shahidi wa Jamhuri afungua ‘darasa’ kortini

SHAHIDI wa saba katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema,Victoria Wihenge amefungua ‘darsa’ kortini kwa kueleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa kuelekea kwenye chaguzi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akitoa maelezo ...

Read More »

Sababu ongezeko vifo ajali ya Lori Morogoro yaelezwa

HATUA ya majeruhi wengi wa ajali ya Lori la mafuta lililowaka moto Morogoro, walifikishwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimibi (MNH) kuendelea kupoteza maisha, ni kutokana na kuungua kwa asilimia ...

Read More »

Upatu, utakatishaji fedha wawapandisha kortini

MAGDALENA Uhwello na Halima Nsubuga leo tarehe 21 Agosti 2019, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam na kusomewa mashtaka saba likiwemo ya utakatishaji fedha. Anaripoti ...

Read More »

Wabunge, wastaafu kuondolewa kwenye nyumba za TBA

WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA), wameamua kuondoa wadaiwa sugu katika nyumba zao. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). TBA wameeleza kuwa, wapangaji hao mpaka sasa wamesababisha hasara ya Sh 1.5 Bil ...

Read More »

Bodaboda, Bajaji walalamikia polisi, Mambosasa awakana 

WAENDESHA Bajaji ambao ni walemavu katika Kituo cha Feri, jijini Dar es Salaam wamelalamikia kitendo cha Jeshi la Polisi kukamatwa wenzao. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Wametoa malalamiko hayo ikiwa Lazaro ...

Read More »

Shahidi wa Jamhuri: Chadema hawakubeba silaha

SHAHIDI namba sita wa Jamhuri, Koplo Charles katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi waandamizi wa Chadema, ameeleza kutoona wafuasi wa chama hicho wakiwa na silaha. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akitoa ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram