CHAMA cha ACT-Wazalendo kimedai kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), ina tabia ya kutenga bajeti isiyokidhi mahitaji pia kukopa kwa masharti magumu na...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2019YUSUF Makamba na Abdulrahman Kinana, makatibu wakuu wastaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamebisha hodi kwa Rais John Magufuli. Anatipoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2019UBORESHAJI wa Daftari la Wapiga Kura kwa njia ya Kielektroniki (BVR), katika Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha unatarajia kuanza rasmi tarehe 18 Julai...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2019JESHI la Polisi mkoani Kagera, limemwacha kwa dhamana Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Halima Mdee. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Jeshi...
By Hamisi MgutaJuly 15, 2019CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema, “kushiriki uchaguzi mdogo katika jimbo la Singida Mashariki, ni sawa na kutenda uovu.” Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Uchaguzi...
By Hamisi MgutaJuly 15, 2019JESHI la Polisi mkoani Kagera, bado linamshikilia Halima Mdee, Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), tangu jana...
By Faki SosiJuly 15, 2019RAIS John Magufuli, Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, ameonya wanasiasa wanaodhalilisha vyombo vya ulinzi na usalama nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2019MADIWANI wa Halmashauri ya wilaya ya Morogoro wameazimia kutenga asilimia 25 wanayokusanya kutoka vijiji vya mradi wa mkaa endelevu kila mwaka na kuanzisha...
By Christina HauleJuly 15, 2019MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amesema, watu watano wanaoshukiwa kuhusika katika tukio la mauaji ya Watanzania tisa nchini Msumbiji,...
By Regina MkondeJuly 15, 2019KATIBU Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Bahi jijini Dodoma, Melickzedeck Lesaka ametoa siku saba kwa Umoja wa Vijana wa...
By Danson KaijageJuly 15, 2019PROFESA Makame Mbarawa, Waziri wa Maji na Umwagiliaji, amefanya mabadiliko katika Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira katika mikoa ya Tabora na...
By Regina MkondeJuly 15, 2019KIGUGUMIZI cha Serikali ya Awamu ya Tano kumchukulia hatua Cyprian Musiba, anayejitambulisha kuwa mwanaharakati na mtetezi wa Rais John Magufuli, sasa kinahojiwa. Anaripoti...
By Masalu ErastoJuly 15, 2019UNYAMA na vitendo vya ukiukwaji wa sheria vimelalamikiwa na Mhandisi Hamad Massauni, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2019ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amewapa mbinu za ushindi viongozi wa majimbo wa chama hicho mkoa wa Dar es Salaam,...
By Regina MkondeJuly 13, 2019WANACHAMA ambao wapo kwenye vikundi vya hiari vya kukopeshana SACCOS wameshauriwa kutumia fedha wanazokopa kwa ajili ya Maendeleo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...
By Danson KaijageJuly 13, 2019TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetangaza kwamba, maombi ya kujiunga na vyuo vikuu kwa shahada ya kwanza katika mwaka wa masomo wa...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2019KAMPUNI ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL), wachapishaji wa magazeti ya MwanaHALISI, MSETO na MAWIO, imemshukia Prof. Palamagamba Kabudi, kufuatia kauli yake, kwamba...
By Regina MkondeJuly 13, 2019HATUA ya Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM kukosoa vitendo vya baadhi ya Polisi kutumia nguvu katika kuwashughulikia wanasiasa, imemuibua Nape Nnauye,...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2019TUNDU Lissu, aliyetangazwa na Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, kuvuliwa wadhifa wake wa ubunge katika jimbo la Singida Mashariki, yuko mbioni...
By Kelvin MwaipunguJuly 13, 2019BENKI ya Diamond Trust (DTB) imepigwa faini ya kiasi cha Sh. 1 Bilioni na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa kukaidi agizo la...
By Regina MkondeJuly 13, 2019JUMUIYA ya Madola Kanda ya Afrika CPA unakusudia kujenga ofisi ya Makao Makuu ya Jumuiya hiyo pamoja na ujenzi wa hoteli ya nyota...
By Danson KaijageJuly 12, 2019JESHI la Polisi mkoani Mwanza kwa kushirikiana na Kampuni ya JP DECAUX imeandaa tamasha la UNITY FESTIVAL kati ya bodaboda na askari Polisi ...
By Moses MsetiJuly 12, 2019MWENYEKITI wa Halmashauri ya wilaya ya Morogoro, Kibena Kingu ameuomba Mradi wa kuleta mageuzi katika Sekta ya mkaa Tanzania (TTCS) usiwasahau katika awamu...
By Christina HauleJuly 12, 2019KAMATI ya Viongozi wa Dini ya Masuala ya Haki za Kiuchumi na Uadilifu katika Uumbaji (ISCEJIC), imezindua Mfumo wa Soko Jamii unaotoa muongozo...
By Regina MkondeJuly 12, 2019KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally amesema, mgombea yeyote wa chama hicho atakayejihusisha na vitendo vya rushwa, Taasisi ya...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2019YOWERI Museveni, Rais wa Uganda anatarajiwa kutua kwenye ardhi ya Tanzania kesho 13 Julai 2019, kwa ziara ya siku moja. Anaripoti Faki Sosi …...
By Faki SosiJuly 12, 2019MTOZA ushuru aliyetambulika kwa jina moja la Pesha, jana tarehe 11 Julai 2019, alijikuta matatani baada ya Rais John Magufuli kuagiza akamatwe na...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2019BARAZA la Mitihani la Taifa Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita ya mwaka 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akitangaza matokeo...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2019SERIKALI kupitia Wizara ya Afya inajenga jengo la Wazazi lenye thamani ya Sh. 7 bilioni ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais wa...
By Hamisi MgutaJuly 11, 2019CHAMA cha ACT-Wazalendo kinaweza kuwa nchi ya Kanani kwa wanasiasa kutoka kwa vyama mbalimbali vya nchini Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020. Anaandika...
By Faki SosiJuly 11, 2019PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, amekanusha kauli inayosambaa katika mitandao ya kijamii ya kwamba amethibitisha...
By Regina MkondeJuly 11, 2019BENKI ya UBA Tanzania kupitia taasisi ya UBA Foundation chini ya mpango wa ‘Read Africa Initiative’ imetoa vitabu 1,500 vya fasihi kwenye shule...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2019MKURUGENZI wa asasi isiyokuwa ya kiraia ya Women Wake Up (WOWAP), Fatuma Tawfiq, amesema kuwa siyo kweli kuwa asasi za kiraia hazifanyi kazi...
By Danson KaijageJuly 11, 2019DONALD Njonjo, Meneja wa Maabara katika Tume ya Madini anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa tuhuma za...
By Regina MkondeJuly 11, 2019SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imeshusha neema kwa wananchi wa Njombe kwa kutenga kiasi cha Sh. 7.6 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa...
By Hamisi MgutaJuly 11, 2019MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA ) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limewatia mbaroni watu 12 wanaojihusisha na usajili wa...
By Moses MsetiJuly 10, 2019TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) inamshikilia Omary Chuma (55) Mkazi wa Chamazi, Temeke Dar es Salaam, aliyejifanya kuwa ni...
By Hamisi MgutaJuly 10, 2019TAASISI ya Sekta Binafsi nchini (TPSF) imeendelea kuwahimiza wadau waliyopo kwenye sekta hiyo kufuata sheria, taratibu na uzalendo ili kuepukana na vitendo vya...
By Moses MsetiJuly 10, 2019MWANAUME mmoja Saidi Kasti (35) mkazi wa kitongoji cha Kimangakene Kijiji cha Diyovuva kata ya Kiroka wilayani Morogoro anashikiliwa polisi kwa tuhuma za...
By Christina HauleJuly 10, 2019JUMLA ya kaya za wazee 10 za kata ya Ngerengere wilayani Morogoro mkoani hapa zimekabidhiwa kadi za mfuko wa Bima ya Afya ya...
By Christina HauleJuly 9, 2019VIONGOZI mbalimbali wa kisiasa na watu mashughuli wametao neno la pole kwenye msiba wa wafanyakazi watano wa Azam TV waliofariki jana kwenye ajali ...
By Faki SosiJuly 9, 2019SERIKALI imesema kuwa bado watanzania wanakabiliwa na hali ya umasikini hivyo kuna kila sababu ya taasisi za kifedha kutoa elemu. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageJuly 9, 2019MFUMUKO wa bei wa taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Juni ,2019 umeongezeka hadi kufikia asilimia 3.7 kutoka asilimia 3.5 kwa mwaka ulioishia mwezi...
By Danson KaijageJuly 8, 2019SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imesitisha mkataba wa Kocha wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” Emmanuel Amunike baada ya timu hiyo...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2019TANZANIA imepunguza maambukizi ya ugonjwa wa Trachoma (vikope) kutoka wilaya 71 hadi sita ambazo zitaendelea na umezaji kingatiba. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea)....
By Hamisi MgutaJuly 8, 2019MAHAKAMA ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), imemtia hatiani kwa makosa ya uhalifu wa kivita na binadamu Bosco Ntaganda, kiongozi wa zamani...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2019RAIS John Magufuli ameungana na Watanzania kutoa salamu za rambirambi kwa uongozi wa Kampuni zilizo chini ya Azam Media zinazoongozwa na mwenyekti wake...
By Regina MkondeJuly 8, 2019JANA usiku vigogo wa soka Afrika, timu ya taifa ya Aljeria iliungana na Madagasca na Afrika Kusini kutinga hatua ya robo fainali ya...
By Yusuf AboudJuly 8, 2019TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inatarajia kuzindua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura tarehe 18 Julai 2019 mkoani Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2019WAFANYAKAZI watano wa Azam Televishen kati ya saba leo tarehe 8 Julai 2019, wamepoteza maisha kwenye ajali iliyotokea katika eneo la Malendi, Wilaya...
By Regina MkondeJuly 8, 2019