Wednesday , 24 April 2024

Month: July 2019

Habari za Siasa

Mteule wa JPM atuhumiwa kuomba rushwa, ni DC wa Hai

LENGAI Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai (DC) anatuhumiwa na Carthbert Swai, mfanyabiashara na Mmiliki wa Hoteli ya Kitalii ya Weruweru River...

Habari za Siasa

Makabidhiano ya dhahabu yamkwamisha Mbowe, wenzake 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo tarehe 24 Julai 2019 imeahirisha kusikiliza kesi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Mtoto miaka nane amuua mwezake wa mwaka mmoja kwa panga

SAID Stephen na mtoto wake wa kike (jina linahifadhiwa), wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Morogoro kwa tuhuma za kuhusika kwenye mauaji ya mtoto...

Habari za Siasa

Waziri amkingia kifua ‘boss’ wake

LUHAGA Mpinda, Waziri wa Mifugo na Uvuvi amelalamikia watu anaodai, wanataka kumng’oa Rais John Magufuli asigombee kwenye uchaguzi mkuu 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari za SiasaTangulizi

Pinda ajitosa, akoleza mbio za urais CCM 2020

KASI ya kusaka nafasi ya kuteuliwa na kugombea kiti cha urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), imedhihiri. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kauli za...

Habari za Siasa

Viongozi Chadema kumaliza wiki kizimbani

VIONGOZI waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), watapanda kwenye kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuendelea kusikiliza kesi ya uchochezi inayowakabili...

Michezo

Malinzi, Mwesigwa wana kesi ya kujibu – Mahakama

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemkuta na kesi ya kujibu aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...

Habari za Siasa

Bashe apongezwa

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amempongeza Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kiteuliwa kushika nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari Mchanganyiko

Kamera 14 za NIDA zilizoibwa zakamatwa

JESHI la Polisi, Mkoa wa Dodoma leo 22 Julai 2019 limefanikiwa kukamata kamera 12 ambazo ni mali ya Mamlaka ya Vitamburisho vya Taifa...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru: Wapuuzeni hao wapumbavu

LUGHA kali na zenye ukakasi, zimeanza kutolewa na viongozi wakuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), juu ya barua iliyoandikwa na viongozi wastaafu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Timu JPM washusha nyundo tena

KIKUNDI ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinachomtetea Dk. John Magufuli, mwenyekiti wa chama hicho, kinaendeleza mashambulizi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea amuasa Rais Magufuli

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amemtahadharisha Rais John Magufuli kuwa kuitekeleza sheria...

Kimataifa

Waziri wa Fedha Kenya ajisalimisha

HENRY Rotich, Waziri wa Fedha nchini Kenya amejisalimisha kwa maafisa wa upelelezi, saa kadhaa baada ya Noordin Haji, Mkurugenzi wa Mashtaka kuagiza akamatwe. Inaripoti...

Habari za Siasa

Makamba amtumia ujumbe Rais Magufuli

JANUARY Makamba, aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), amemtumia jumbe Rais JohnMagufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Muda...

Habari Mchanganyiko

Kifo cha mhandisi Z’bar, giza nene

HAJI Abdallah Khatib, Mhandisi msaidizi wa meli ya MV Mapinduzi, amefariki dunia kwa kujinyonga ndani ya meli hiyo. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Kilichomkera JPM kwa Makamba hiki hapa

MIONGONI mwa sababu za January Makamba, aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira kung’olewa kwenye nafasi hiyo, zimetajwa....

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli ataja sababu kumteua Bashe

RAIS John Magufuli ametaja sababu za kumteua Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega kuwa Naibu Waziri katika Wizara ya Kilimo. Anaandika Regina Mkonde…(endelea). Akizunguza baada...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru ashutumiwa vikali

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimemtuhumu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ali kwamba anapotosha ukweli kuhusu kusinyaa kwa uchumi wa nchi. ...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli amtimua uwaziri January Makamba

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba. Anaripoti Regina Mkonde …...

Habari za SiasaTangulizi

Siri za Serikali ya JPM na Acacia zafichuka 

KAMPUNI ya madini ya ACACIA Mining (PLC), imeuzwa rasmi kwa kampuni ya Barrick Gold Corporation zote kutoka nchini Canada. Mauzo hayo yamefanyika, huku...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa azindua safari za treni ya mizigo Tanga-Moshi

KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amezindua safari za treni za mizigo kutoka Mkoa wa Tanga kuelekea Kilimanjaro. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

SAKATA LA WARAKA: Lusinde amgwaya Membe 

MBUNGE wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde, maarufu kwa jina la Kibajaji, “ameshindwa” kufanya kazi aliyotumwa. Anadaiwa alipangwa kumshambulia kwa njia ya kumvunjia heshima,...

Habari za Siasa

Sakata la usaliti; Nape awatahadharisha CCM

NAPE Nnauye, Mbunge wa Mtama amewataka watu wanaojadili sauti iliyosambaa mitandaoni inayodaiwa kuwa ni yake na Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM,...

Habari za Siasa

Chadema yaivuruga UVCCM Bahi

BAADA ya Katibu Mstaafu wa Chadema wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma, Melickzedeck Lesaka kutangaza kuuburuza mahakamani uongozi wa UVCCM wilaya ya Bahi kwa...

Habari Mchanganyiko

Bakwata wagoma kufanya kazi na Mkurugenzi wa Uchumi

MKUTANO mkuu wa Baraza la Waislamu Mkoa wa Dodoma (BAKWATA) umeazimia kutofanya kazi na Mkurugenzi wa Uchumi,Mipango na Uwezeshaji, Ustadh Othmani Shabani Hotty....

Habari za SiasaTangulizi

Kinana, Makamba watakiwa kufukuzwa CCM 

JOSEPH Msukuma, mbunge wa Geita Vijijini, amewatuhumu makatibu wakuu wawili wastaafu wa chama Chama Cha Mapinuduzi, Kanal Abdulrahaman Kinana na Luteni Yusuf Makamba,...

Michezo

Mzee Chumo atetea vipaji vipya

MSANII nyota wa filamu nchini Tanzania, Jafari Makatu maarufu kwa jina la Mzee Chumo, amewataka waandaaji wa filamu kuacha kuzima vipaji vichanga vya...

Habari Mchanganyiko

Takwimu Benki ya Dunia, Tanzania zapingana

TAKWIMU zilizopo kwenye ripoti ya Benki ya Dunia (WB) na zile za serikali kuhusu kukua kwa uchumu, zinapingana. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). WB kwenye ripoti...

Habari Mchanganyiko

CMSA yazindua shindano kwa wanavyuo

MAMLAKA ya Masoko Mitaji na Dhamana (CMSA) imetangaza shindano la Masoko ya Mitaji kwa mwanafunzi wa vyuo vikuu na Taasisi za Elimu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Lissu dhidi ya Ndugai, sasa yaiva

MKAKATI wa Tundu Antipas Lissu, kumburuza mahakamani Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, kufuatia uamuzi wake wa “kumvua ubunge wa Singida Mashariki...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto ajitosa sakata la Kinana, Makamba 

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amedai kuwa kilichoelezwa kwenye waraka uliyotolewa na viongozi wakuu...

Habari za Siasa

Magufuli amtaka Ndugai 2020

RAIS John Magufuli ameonesha dhamira ya kutaka Job Ndugai, Mbunge wa Kongwa kuchaguliwa tena kwenye kiti hicho wakati wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...

Habari za Siasa

Machozi yenu yataniumiza – Rais Magufuli

RAIS John Magufuli amesema hawezi kuongoza nchi iliyotawaliwa na machozi pamoja na watu wanaosikitika kwa unyonge. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Rais Magufuli ametoa...

Habari za Siasa

Spika Ndugai ampigia kampeni Rais Magufuli

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameanza kumwombea kura Dk. John Magufuli, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano...

Habari Mchanganyiko

TCE yazindua kampeni ya malezi chanya

TAASISI inayoshughulika na masuala ya maendeleo na ustawi wa jamii (TCE), imezindua kampeni ya malezi chanya, kwa ajili ya kukabiliana na vitendo vya...

Elimu

Mradi wa elimu Misungwi umejengwa chini ya kiwango: Takukuru

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Mwanza imebaini uwepo wa kasoro katika mradi wa elimu wa ujenzi wa vyumba...

Habari MchanganyikoTangulizi

Magunia  ya mkaa, yageuka jeneza la Naomi

NAOMI Orest Marijani (36), mkazi wa Gezaulole, wilayani Kigamboni, jijini Dar es Salaam, aliyeripotiwa kutoweka nyumbani kwake, tokea tarehe 15 Mei mwaka huu,...

Habari Mchanganyiko

Serikali yawafutia kesi polisi waliodaiwa kutorosha dhahabu

SERIKALI imewafutia kesi ya uhujumu uchumi namba 1 ya mwaka 2019 Askari Polisi nane, waliokuwa wanatuhumiwa kutorosha shehena ya madini ya dhahabu Jijini...

Habari za SiasaTangulizi

Kumekucha CCM: Barua ya Kinana, Makamba, siri nzito

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza kupata ufa mwingine, kufuatia waliopata kuwa makatibu wakuu wake, Abdulrahaman Kinana na Yusuf Makamba, kumtuhumu Rais John Magufuli,...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Rushwa, vitisho vyatawala malipo ya korosho 

MALALAMIKO ya rushwa na vitisho kwa wakulima na wafanyabiashara wa korosho, vimetawala kwenye madai ya malipo ya biashara hiyo, mkoani Mtwara. Anaripoti Regina Mkonde...

Afya

Wasambazaji, wauzaji dawa ya Gentrisone wakamatwa

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA), imeondoa sokoni dawa bandia aina ya Gentrisone 10g Cream, zaidi ya tube 4,188. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari Mchanganyiko

Elimu ya mkaa endelevu kutolewa kutunza mazingira

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na mazingira, Suleiman Sadiq ameshauri elimu zaidi kutolewa kuhusu Mradi wa Kuleta Mageuzi katika Sekta...

Habari za SiasaTangulizi

Waliojitokeza kumrithi Lissu hawa hapa

WAGOMBEA kutoka vyama 12 vya siasa nchini, wamejitokeza kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Singida Mashariki. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ni...

Habari za Siasa

JPM aipa Wizara ya Fedha, Ujenzi siku 5

RAIS John Magufuli ametoa siku tano kwa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano pamoja na Wizara ya Fedha na Mipango, kuhakikisha vifaa vya...

Habari Mchanganyiko

MISA Tanzania wamvaa Uwoya

TUKIO la Irene Uwoya, Msanii wa Filamu nchini kuwamwagia fedha waandishi wa habari, limelaaniwa na Taasisi ya Vyombo ya Habari Kusini mwa Afrika...

Habari za Siasa

Tuhuma nzito ziara ya Rais Magufuli

ZIARA ya Rais John Magufuli katika gereza kuu la Butimba jijini Mwanza, imeibua tuhuma nzito. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kalikenya Nyamboge, mfungwa anayetumikia kifungo cha...

Habari MchanganyikoKimataifa

Masikini Abdul! apigwa risasi ya kichwa, yupo taaban

IJUMAA ya tarehe 12 Julai 2019, imebaki katika kumbukumbu hasi kwa wakazi wa Kijiji cha Kufr Qaddoum kilichopo Kaskazini mwa Mji wa West Bank. Inaripotiwa...

Michezo

Simba yamshitaki Mzee Kilomoni TFF

KLABU ya Simba imemfikisha Mzee Hamisi Kilomoni, aliyekuwa Mjumbe wa Bodi yake ya  Wadhamini katika Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa...

Habari za SiasaSiasa

Rais Magufuli awapa zawadi wafungwa

RAIS John Magufuli leo tarehe 16 Julai 2019, ametoa zawadi ya magunia 15 ya mchele pamoja na ng’ombe watatu kwa wafungwa na mahabusu...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yapata ‘dili’ uuzaji wa korosho

SHIRIKISHO la Korosho Barani Afrika (ACA), limeiteua Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa 13 wa wadau wa kimataifa wa korosho, unaotarajia kufanyika kuanzia...

error: Content is protected !!