Friday , 19 April 2024

Day: July 15, 2019

Habari za Siasa

Mdee atoka mahabusu

JESHI la Polisi mkoani Kagera, limemwacha kwa dhamana Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Halima Mdee. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Jeshi...

Habari za SiasaTangulizi

Hatuogopi uchaguzi Singida, tunakataa uharamu – Chadema  

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema, “kushiriki uchaguzi mdogo katika jimbo la Singida Mashariki, ni sawa na kutenda uovu.” Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Uchaguzi...

Habari za Siasa

Polisi wamng’ang’ania Mdee

JESHI la Polisi mkoani Kagera, bado linamshikilia Halima Mdee, Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), tangu jana...

Habari za Siasa

Rais Magufuli aonya wanasiasa

RAIS John Magufuli, Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, ameonya wanasiasa wanaodhalilisha vyombo vya ulinzi na usalama nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza...

Habari Mchanganyiko

Morogoro watenga 25% za mapato kutunza misitu

MADIWANI wa Halmashauri ya wilaya ya Morogoro wameazimia kutenga asilimia 25 wanayokusanya kutoka vijiji vya mradi wa mkaa endelevu kila mwaka na kuanzisha...

Habari Mchanganyiko

Waliouwa Watanzania Msumbiji wanaswa, mmoja afariki

MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amesema, watu watano wanaoshukiwa kuhusika katika tukio la mauaji ya Watanzania tisa nchini Msumbiji,...

Habari za Siasa

CCM yamtamani Katibu Chadema

KATIBU Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Bahi jijini Dodoma, Melickzedeck Lesaka ametoa siku saba kwa Umoja wa Vijana wa...

Habari Mchanganyiko

Prof. Mbarawa afanya ‘mageuzi’

PROFESA Makame Mbarawa, Waziri wa Maji na Umwagiliaji, amefanya mabadiliko katika Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira katika mikoa ya Tabora na...

Habari za SiasaTangulizi

Mtetezi wa JPM awavuruga Kinana, Makamba

KIGUGUMIZI cha Serikali ya Awamu ya Tano kumchukulia hatua Cyprian Musiba, anayejitambulisha kuwa mwanaharakati na mtetezi wa Rais John Magufuli, sasa kinahojiwa. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Huu ni unyama; Waziri ahuzunika mateso ya mama, kichanga chake

UNYAMA na vitendo vya ukiukwaji wa sheria vimelalamikiwa na Mhandisi Hamad Massauni, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu...

error: Content is protected !!