Friday , 29 March 2024

Day: July 13, 2019

Habari za Siasa

Zitto aja na mikakati ya kuiteka Dar

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amewapa mbinu za ushindi viongozi wa majimbo wa chama hicho mkoa wa Dar es Salaam,...

Habari Mchanganyiko

Wakopaji watakiwa kutumia mikopo kwa maendeleo

WANACHAMA ambao wapo kwenye vikundi vya hiari vya kukopeshana SACCOS wameshauriwa kutumia fedha wanazokopa kwa ajili ya Maendeleo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...

Elimu

Dirisha maombi ya kujiunga vyuo vikuu kufunguliwa Julai 15

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetangaza kwamba, maombi ya kujiunga na vyuo vikuu kwa shahada ya kwanza katika mwaka wa masomo wa...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Kabudi azidi kung’ang’aniwa

KAMPUNI ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL), wachapishaji wa magazeti ya MwanaHALISI, MSETO na MAWIO, imemshukia Prof. Palamagamba Kabudi, kufuatia kauli yake, kwamba...

Habari za Siasa

Nape, Dk. Bashiru waungana kukemea wanasiasa kushughulikiwa na Polisi

HATUA ya Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM  kukosoa vitendo vya baadhi ya Polisi kutumia nguvu katika kuwashughulikia wanasiasa, imemuibua Nape Nnauye,...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu mbioni kumshitaki Ndugai

TUNDU Lissu, aliyetangazwa na Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, kuvuliwa wadhifa wake wa ubunge katika jimbo la Singida Mashariki, yuko mbioni...

Habari Mchanganyiko

BOT yailima DTB benki faini Bil. 1

BENKI ya Diamond Trust (DTB) imepigwa faini ya kiasi cha Sh. 1 Bilioni na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa kukaidi agizo la...

error: Content is protected !!