Thursday , 25 April 2024

Day: July 11, 2019

Elimu

Matokeo ya Kidato cha Sita haya hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita ya mwaka 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akitangaza matokeo...

Afya

Bilioni 7 kujenga jengo la wazazi Mbeya

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya inajenga jengo la Wazazi lenye thamani ya Sh. 7 bilioni ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais wa...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo kuwa ‘Kanani ya Siasa’ 2020?

CHAMA cha ACT-Wazalendo kinaweza kuwa nchi ya Kanani kwa wanasiasa kutoka kwa vyama mbalimbali vya nchini Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020. Anaandika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Prof. Kabudi: Wameninukuu vibaya, sijasema Azory amefariki

PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, amekanusha kauli inayosambaa katika mitandao ya kijamii ya kwamba amethibitisha...

Elimu

Benki ya UBA yamwaga vitabu 1,500 Kigamboni

BENKI ya UBA Tanzania kupitia taasisi ya UBA Foundation chini ya mpango wa ‘Read Africa Initiative’ imetoa vitabu 1,500 vya fasihi kwenye shule...

Habari Mchanganyiko

Siyo Asasi zote zinafanya vibaya

MKURUGENZI wa asasi isiyokuwa ya kiraia ya Women Wake Up (WOWAP), Fatuma Tawfiq, amesema kuwa siyo kweli kuwa asasi za kiraia hazifanyi kazi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Afisa Madini mbaroni kwa wizi wa dhahabu ya Mil.507

DONALD  Njonjo, Meneja wa Maabara katika Tume ya Madini anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa tuhuma za...

Afya

Serikali yashusha neema Njombe

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imeshusha neema kwa wananchi wa Njombe kwa kutenga kiasi cha Sh. 7.6 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa...

error: Content is protected !!