Daily Archives: July 5, 2019

NEC yapuliza kipenga jimboni kwa Tundu Lissu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeeleza kuwa, uchaguzi mdogo katika Jimbo la Singida Mashariki utafanyika tarehe 28 Julai 28 mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Jimbo hilo lipo wazi ...

Read More »

Wazee Chadema ‘wabisha hodi’ kwa Spika Ndugai, Rais Magufuli

BARAZA la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameeleza wasiwasi kuhusu gharama za matibabu ya Job Ndugai, Spika wa Bunge nchini India na mkataba wa mradi wa ujenzi ...

Read More »

Dk. Mwakyembe, wenzake watembelea kituo cha vipaji

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ameongoza mawaziri wanne, manaibu waziri na wakurugenzi wa idara zinazoshughulikia michezo kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kutembelea Shule ...

Read More »

Jogoo ashtakiwa, kisa kuwika alfajiri

JOGOO mmoja katika kisiwa cha Oléron nchini Ufaransa, jana tarehe 4 Julai 2019 alipandishwa kizimbani akituhumiwa kuwika hivyo kusababisha usumbufu. Vinaripoti vyombo vya kimataifa … (endelea). Ndege huyo aliyepewa jina la ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram