Daily Archives: July 4, 2019

Sekta ya Utalii yachangia 17.6% katika pato la Taifa

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Khamisi Kigwangala ameweka wazi kuwa sekta ya utalii ni moja kati ya sekta muhimu nchini katika ukuaji wa uchumi wa Taifa kutokana na sekta ...

Read More »

Wakili wa Mbowe, Jamhuri watoana jasho

UPANDE wa Jamhuri umewasilisha hoja zao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, juu pingamizi la upande wa utetezi kuhusu kupokelewa kwa kielelezo cha kamera na tape mbili za video, kwenye ...

Read More »

Mbowe kupata pigo lingine, mali zake sasa kupigwa mnada

MALI za kampuni ya Mbowe Limited, inayomilikiwa na mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, zimapangwa kupigwa mnada, Jumamosi wiki hii. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa ...

Read More »

Tanzania, Interpol kuchunguza kutekwa msaidizi wa Zitto

JESHI la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema, litashirikiana na Shirika la Polisi la Kimataifa (INTERPOL) kuchunguza tukio la kupotea na kupatikana kwa raia wa Kenya, Raphael Ongangi. Anaripoti ...

Read More »

Sheikh Ponda gizani tena

MAHAKAMA ya Rufaa, jijini Dar es Salaam leo tarehe 4 Julai 2019 imefuta hukumu ya Sheikh Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini iliyotolewa tarehe 9 ...

Read More »

Mbaroni kwa kumlawiti mama yake mzazi

KIJANA mmoja ambaye hakutajwa jina, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dodoma kwa tuhuma za kumlawiti mama yake mzazi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa hiyo imethibitishwa na Kamanda wa Jeshi ...

Read More »

Wema Sepetu adakwa tena, atupwa rumande

WEMA Sepetu, Mwigizaji na Mshindi wa Mashindano ya Urembo mwaka 2006, amekamatwa tena leo tarehe 4 Julai 2019 na Jeshi la Magereza muda mchache baada ya mahakama kumwacha huru. Anaripoti ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram