Daily Archives: July 3, 2019

Kibatala apinga ushahidi wa kamera Mahakamani kesi ya Mbowe

WAKILI upande wa utetezi Peter Kibatala amepinga kupokelewa kwa kielelezo cha kamera na tape mbili za kurekodia video (Min-Dv) zilizotolewa kwenye ushahidi kwa upande wa Jamhuri mahakamani Kisutu  katika kesi ...

Read More »

Prof. Mbarawa aokoa Sh. 250 mil za sherehe Mwanza

WaAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Professa Makame Mbarawa ameagiza Sh. 250 milioni zilizokuwa zimetengwa na wizara hiyo kwa ajili ya sherehe za uzinduzi Wakala wa maji Safi na usafi wa ...

Read More »

JWTZ kushiriki mashindano ya majeshi duniani

JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), linatarajia kushiriki michezo ya majeshi ya dunia itakayofanyika nchini China kuanzia tarehe 18 hadi 27 Oktoba mwaka huu. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na ...

Read More »

Waziri Mwakyembe asiturudishe nyuma

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ametangaza rasmi, kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni kutumika katika mchezo mmoja. Anaandika Yusuf Aboud … (endelea). Agizo hilo la ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram