Daily Archives: July 2, 2019

Msaidizi wa Zitto ‘aokotwa’ Kenya

RAPHAEL Ongangi, aliyekuwa Msaidizi wa Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amepatikana akiwa hai asubuhi ya leo tarehe 2 Julai 2019, eneo la Mtwapa mjini Mombasa, Kenya. Anaripoti Regina Mkonde ...

Read More »

Sakata la Lissu: Membe amshangaa Spika Ndugai

BERNARD Membe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika Serikali ya Awamu ya Nne, ameshangazwa na hatua ya Job Ndugai, Spika wa Bunge kumvua ubunge Tundu Lissu. Anaripoti Mwandishi Wetu ...

Read More »

Serikali yatenga Bil 114.5 kumaliza changamoto ya maji Dar, Pwani

SERIKALI imepanga kutumia kiasi cha Sh. 114.5 Bilioni katika kutekeleza miradi sita ya maji kwenye mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza katika hafla ya ...

Read More »

Mbowe Vs Jamhuri: Neno kwa neno

SHAHIDI wa tano kwenye kesi namba 112 ya mwaka 2018 ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Chadema, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, hajui kilichomfanya askari mlenga shabaha (Koplo Rahimu) azimie. Anaripoti ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram