Daily Archives: July 1, 2019

Kesi ya Mbowe, wenzake:Shahidi aibua mapya

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza kesi namba 112 ya mwaka 2018 ya viongozi wa Chadema leo tarehe 1 Julai 2019.Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Shahidi wa tano wa Jamhuri, daktari ...

Read More »

Rais Magufuli arudi nyumbani Chato, afurahia maendeleo

RAIS John Magufuli ameeleza kufurahishwa kwake na maendeleo yaliyofikiwa na wananchi wa Wilaya ya Chato mkoani Geita. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza baada ya kuwasili wilayani humo leo tarehe ...

Read More »

CAG Assad: Rasilimali zinatumika vibaya, zilindeni

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, amezitaka asasi za kiraia kuhakikisha zinasaidia kulinda rasilimali za asili, ikiwemo madini ambazo zimekuwa zikitumika vibaya. Anaripoti Danson Kaijage, ...

Read More »

Wapangaji sugu TBA wape wa siku 14

WAPANGAJI wa nyumba za serikali, wamepewa siku 14 na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), kulipa malimbikizo ya madeni yao kabla haijawaondoa kwa nguvu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Agizo hilo limetolewa ...

Read More »

Takukuru yaingilia kati mradi wa maji Chemba

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Dodoma imeingilia kati ujenzi wa Mradi wa Maji wa Kiniji cha Kelema Kuu, wilayani Chemba baada ya kubaini thamani ya ...

Read More »

Zitto amsaka Ongangi, ataka Kenya iingilie

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini ameitaka serikali ya Tanzania kulipa uzito suala la kutekwa kwa Raphael Ongangi, Rais wa Kenya ambaye ni msaidizi wake. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Amesema, Ongangi ana ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram