Saturday , 20 April 2024

Month: June 2019

Habari za Siasa

Kada CCM atafuna pesa za wafanyabiashara

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella amemtaka kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kahungwa kurejesha mara moja pesa zilizochangwa na wadau...

Habari Mchanganyiko

NBC yapata tuzo ya utendaji bora

IMEELEZWA kuwa Benki ya NBC ni benki ya tatu kwa ukubwa nchini Tanzania, hivyo wametunukiwa tuzo ya Utendaji Bora wa sekta ya benki...

Habari za SiasaTangulizi

Upinzani wajibu vijembe vya Serikali

MBUNGE wa Malindi, kisiwani Unguja, Ally Salehe, ameituhumu Serikali ya Jamhuri ya Muungano, kupunja mapato ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), yanayopitia Mfuko...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema aitaka Serikali kutoa taarifa ya masoko

MBUNGE Tunduma, Frank Mwakajoka (Chadema) ameitaka serikali kutoa taarifa ya masoko kwa wafanyabiashara ya mahindi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Mwakajoka alitoa...

Habari Mchanganyiko

Mkurugenzi Dodoma amaliza mgogoro wa ardhi wa miaka 20

MKURUGENZI wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amemaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka 20 kwa wakazi eneo la C Centre...

Habari za Siasa

Zitto: Bajeti ya ununuzi ndege, afya ngoma droo

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini, amekosoa bajeti ya serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/20, kwa kuweka fedha za ununuzi wa ndege kiwango...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto: Tusiishangilie Bajeti 2019/20, ashusha data

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameeleza kwamba, kuna mashaka makubwa katika takwimu za serikali kuhusu ukuaji wa pato la taifa...

Afya

Serikali yatoa tahadhari kuhusu Ebola

SERIKALI imetoa tahadhari kwa umma kuhusu uwepo wa tishio la ugonjwa wa Ebola kufuatia ugonjwa huo kulipuka nchi ya jirani ya Uganda. Anaripoti...

Michezo

Waziri Mwakyembe apiga panga maproo Ligi Kuu

DAKTARI Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo amesema kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu  ya Tanzania, kila timu itawatumia wachezaji...

Michezo

Dk. Kikwete amuomba Rais Magufuli kuichangia Yanga

DAKTARI Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne amemuomba Rais John Magufuli kuichangia Klabu ya Yanga. Anaripoti Kelvin Mwaipungu …...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mpango akiri Watanzania wengi bado maskini

SIKU chache baada ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango kusoma Bajeti ya Kuu ta Tanzania kwa mwaka 2019/20, huku ikielezea...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wazuia mkutano wa Mbowe Morogoro

JESHI la Polisi Wilaya ya Morogoro limezuia mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliotarajiwa kufanyika kesho Jumapili tarehe 16...

Habari za Siasa

Serikali yaja na mikakati 7 kuwezesha wananchi kiuchumi

SERIKALI imetoa maagizo saba kwa viongozi, Asasi za Kiraia na kijamii, wadau wa maendeleo na mashirika ya kimataifa, yenye lengo la kuchagiza masuala...

Habari za Siasa

Mhagama akumbusha uzalendo watumishi wa Mashirika ya Kimataifa

JENISTA Mhagama, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) ametoa wito kwa Watanzania wanaofanya kazi katika...

Habari Mchanganyiko

Fuvu la Zinjanthropus kutowekwa hadharani

DAKTARI Hamis Kigwangalla, Waziri wa Maliasili na Utalii amesitisha mpango wake wa kupeleka fuvu la mtu wa kale katika Makumbusho ya Olduvai, Ngorongoro...

Habari Mchanganyiko

Tozo 15 Mifugo na Uvuvi zafutwa

SERIKALI imefuta tozo 15 katika Wizara ya Mifugo na Uvuvi, ikiwa ni hatua ya kuboresha sekta hiyo na kuondoa vikwazo walivyokuwa wakikumbana navyo...

Michezo

Kipa wa Yanga asaini miaka miwili Simba

ALIYEKUWA kipa wa Yanga, Benno Kakolanya amesaini rasmi mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba kuanzia msimu ujao. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kakolanya...

Habari za Siasa

CCM Bukoba waanza kuwindana

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Kagera kimedhamiria kuwavua madaraka viongozi ambao wataonekana kuwavuruga wakati huu kuelekea chaguzi zijazo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Wananchi watoa ya moyoni bajeti 2019/20

BAADHI ya wananchi waliotoa maoni kuhusu mapendekezo ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2019/20 mkoani Kagera na Dodoma, wamekuwa na maoni tofauti. Anaripoti Mwandishi...

Kimataifa

DRC yaomba kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki

NCHI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), imeomba kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hayo amesema Felix...

Kimataifa

Kenya yaongoza kwa bajeti kubwa Afrika Mashariki

MATAIFA matano ya Afrika Mashariki jana tarehe 13 Juni 2019, yalitazamiwa kusoma bajeti zao kwa Mwaka wa Fedha 2019/20. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mpango na bajeti isiyotekelezeka

BAJETI ya serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20, iliyosomwa na Dk. Philiph Mpango, waziri wa fedha na mipango, katika utawala wa Rais John...

Habari za SiasaTangulizi

Bajeti 2019/20: Ushabiki wa kisiasa wateka Bunge

TOFAUTI na bajeti za serikali katika miaka ya fedha iliyopita, katika Mwaka wa Fedha wa 2019/20, ushabiki wa kisiasa umedhihiri. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma...

Habari za Siasa

Bajeti 2019/20: Enzi za kutegemea wajomba hazipo

SERIKALI imesema kuwa, enzi za kutegemea wajomba zimekwisha na sasa, Watanzania washikamane na kufanya kazi kwa bidii. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma … (endelea). Akisoma...

Habari za Siasa

Bajeti 2019/20: Mawigi kutozwa kodi

BAJETI kwa Mwaka wa Fedha 2019/20 iliyosomwa leo tarehe 13 Juni 2019, imependekeza ushuru kwa mawigi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akisoma...

Habari Mchanganyiko

Bajeti 2019/20: Ada leseni za udereva, usajili magari wapanda

SERIKALI ya Tanzania imependekeza kupanda kwa ada ya leseni ya udereva kutoka Sh. 40,000 za sasa, mpaka Sh. 70,000 kwa Mwaka wa Fedha...

Habari za Siasa

Ofisa Chadema apigwa risasi, auawa

LUCAS Lihambalimu, Katibu Mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jimbo la Malinyi mkoani Morogoro jana usiku tarehe 12 Juni 2019, amepigwa...

Habari za Siasa

Zitto aitwanga barua Takukuru

ZITTO Kabwe amemuandikia barua ya malalamiko Diwani Athuman, Kamishna wa Polisi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...

Habari Mchanganyiko

Mapato ATCL yaongezeka

MAPATO ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), yameongezeka kutoka Sh. 11.7 Bilioni mwaka 2015/16 hadi Sh. 45.5mwaka 2018/19. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea)....

Habari za Siasa

Bunge kutokuwa ‘live’: Spika Ndugai ataja ‘mchawi’

JOB Ndugai, Spika wa Bunge amesema, miongoni mwa sababu za Bunge hilo kutorushwa ‘live’, wabunge wenyewe kutojiheshimu. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

JPM akerwa wabunifu umeme kutosaidiwa

RAIS John Magufuli ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Shirika la Ugavi wa Umeme nchini (Tanesco), kushindwa kuwasaidia John Mwafute na Jairos Ngairo ambao...

Habari za Siasa

Dk. Mpango: Pato la mtu mmoja mmoja limeongezeka

SERIKALI imeeleza kuwa, pato la wastani la kila mtu kwa mwaka 2018 lilifikia Sh. 2.4 Milioni (2,458,496), kutoka Sh. 2.3 (2, 327,395) mwaka...

Habari za Siasa

Kuelekea Bajeti Kuu 2019/20: Kubenea amtuhumu Dk. Mpango

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema) amemtuhumu Dk. Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango kwamba, ameshindwa kumsaidia Rais John Magufuli kuimarisha uchumi...

Habari za SiasaTangulizi

BAJETI YA SERIKALI: Kitanzi kingine kipya chaja  

KODI! Kodi! Kodi, ndio mwelekeo wa Bajeti ya ya nne tangu Rais John Pombe Magufuli ashike madaraka, akiwa na kauli tamu na ahadi...

Michezo

Taifa Stars yatema watatu wa kimataifa

TIMU ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), inayoshiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, inayotarajiwa kuanza tarehe 22 Juni mwaka huu, nchini...

Habari Mchanganyiko

Wanakijiji wachanga Mil 20 kujenga madarasa

JUMLA ya Sh. 20 milioni zimetenwa na wanakijiji wa kijiji cha Mlilingwa, Ngerengere mkoa wa  Morogoro walizokusanya kutokana na mapato ya mkaa endelevu...

Habari Mchanganyiko

Tanesco Mwanza lapongeza wafanyabiashara

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), Kanda ya Ziwa limeeleza kuwa, wafanyabiashara wakubwa ni miongoni mwa watu wanaongoza kulipa bili ya umeme kwa asilimia...

Habari Mchanganyiko

Sheria Maudhui ya Mtandao kukatiwa rufaa

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Mtwara leo tarehe 12 Juni 2019, imetoa kibali cha kukata rufaa ya kupinga Kanuni za Maudhui ya Mtandao ya...

Elimu

Wanafunzi 199 wa msingi Bukoba Vijijini wapata afueni

JUMLA ya wanafunzi 199 wanaosoma darasa la VII kwa mwaka 2019 katika shule za msingi nne, zilizopo kwenye Kata ya Kasharu katika Halmashauri...

Afya

Waziri Ummy: Tunafuatilia kwa karibu Ebola Uganda

UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amesema serikali imepokea kwa tahadhari kubwa taarifa ya uwepo mlipuko wa...

Habari za SiasaTangulizi

‘Bao la mkono’ lahojiwa bungeni

WAKATI taifa likijiandaa kuingia kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Oktoba mwaka huu na baadaye Uchaguzi Mkuu 2020, serikali na Chama Cha Mapinduzi...

Habari za Siasa

JPM ateuwa wenyeviti wapya wa bodi TTCL, Airtel Tanzania

DAKTARI John Magufuli ameteua wenyeviti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na Bodi ya Kampuni ya Simu za Mkononi ya Airtel...

Habari za Siasa

Serikali: Kuna viwanda vipya 3,000

SERIKALI imeeleza kuwa, mpaka sasa kuna jumla ya viwanda vipya 3,000 tangu kuanza kwa kampeni ya ujenzi wa viwanda katika Serikali ya Awamu...

Habari za Siasa

Dk. Shein afuata nyayo za Rais Magufuli

DAKTARI Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar leo tarehe 11 Juni 2019 amefanya uteuzi wa viongozi katika idara mbalimbali zilizoko chini ya wizara...

Habari za Siasa

Zitto ashikiliwa Z’bar, Uhamiaji wamkabidhi kwa Polisi

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amekamatwa na Maofisa Uhamiaji Visiwani Zanzibar, akiwa njiani kuelekea nchini Kenya, kabla ya kukabidhiwa kwa...

Habari Mchanganyiko

Mvutano waibuka kesi ya Sheikh Ponda

SERIKALI imeitaka Mahakama ya Rufani kuirudisha kesi ya jinai No. 245 ya mwaka 2012, inayomkabili Sheikh Ponda Issa Ponda, katika Mahakama ya Kisutu...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto: Sikuona mambo haya serikali zilizopita

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amedai kuwa, katika tawala za marais watatu waliopita, hakuwahi kuona mambo yanayofanyika kwenye serikali ya sasa....

Habari za Siasa

Lukuvi awapa ziku 9 wadaiwa kodi ya ardhi

WAMILIKI 207 wa ardhi wanaodaiwa zaidi ya Sh. 200 Bilioni, wamepewa siku tisa kuanzia leo ili kukamilisha malipo hayo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...

Habari za Siasa

Zitto aikaba koo NEC, ZEC

SAKATA la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kutaka wakurugenzi wa halmshauri na manispaa kusimamia uchaguzi, linachukua sura mpya. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Habari MchanganyikoTangulizi

Kesi ya uvamizi: Sheikh Ponda arudishwa kortini

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, leo tarehe 11 Juni 2019 anapandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Rufani,...

error: Content is protected !!