Daily Archives: June 11, 2019

Dk. Shein afuata nyayo za Rais Magufuli

DAKTARI Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar leo tarehe 11 Juni 2019 amefanya uteuzi wa viongozi katika idara mbalimbali zilizoko chini ya wizara nne. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Katika ...

Read More »

Zitto ashikiliwa Z’bar, Uhamiaji wamkabidhi kwa Polisi

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amekamatwa na Maofisa Uhamiaji Visiwani Zanzibar, akiwa njiani kuelekea nchini Kenya, kabla ya kukabidhiwa kwa Jeshi la Polisi. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Mvutano waibuka kesi ya Sheikh Ponda

SERIKALI imeitaka Mahakama ya Rufani kuirudisha kesi ya jinai No. 245 ya mwaka 2012, inayomkabili Sheikh Ponda Issa Ponda, katika Mahakama ya Kisutu ili atiwe hatiani. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Ombi ...

Read More »

Zitto: Sikuona mambo haya serikali zilizopita

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amedai kuwa, katika tawala za marais watatu waliopita, hakuwahi kuona mambo yanayofanyika kwenye serikali ya sasa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Amedai, kwenye ...

Read More »

Lukuvi awapa ziku 9 wadaiwa kodi ya ardhi

WAMILIKI 207 wa ardhi wanaodaiwa zaidi ya Sh. 200 Bilioni, wamepewa siku tisa kuanzia leo ili kukamilisha malipo hayo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). William Lukuvi, Waziri wa Ardhi Nyumba ...

Read More »

Zitto aikaba koo NEC, ZEC

SAKATA la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kutaka wakurugenzi wa halmshauri na manispaa kusimamia uchaguzi, linachukua sura mpya. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ...

Read More »

Kesi ya uvamizi: Sheikh Ponda arudishwa kortini

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, leo tarehe 11 Juni 2019 anapandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Rufani, jijini Dar es Salaam baada ya serikali ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram