Daily Archives: June 7, 2019

Marufuku wanaosimamia biashara kuwa vyanzo vya mapato

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan amezitaka taasisi za umma zenye jukumu la kudhibiti na kusimamia biashara na mazingira, kutokuwa vyanzo vya mapato. ...

Read More »

Rais Magufuli: msitishike na kauli ya ‘maagizo kutoja juu’

RAIS John Magufuli amewataka wafanyabiashara kutokubali kutishwa na msemo wa ‘maagizo kutoka juu’. Anaandika Regina Mkonde … (endelea). Amewataka wafanyabiashara hao kutotekeleza wanachoamriwa, hadi pale wahusika watakapotaja aliyewaagiza. Rais Magufuli ...

Read More »

Wananchi wanufaika na mkaa endelevu

WANANCHI wa vijiji 22, wazalishaji mkaa maarufu kama mkaa endelevu na Halmashauri za wilaya wamenufaika kwa kupata fedha zaidi ya Sh. 3 bilioni kufutia uvunaji wa mkaa endelevu katika kipindi ...

Read More »

Msukuma ‘akabidhi’ ubunge wake kwa JPM 

JOSEPH Kasheku (Msukuma), Mbunge wa Geita (CCM), ameweka rehani ubunge wake kwa Rais John Magufuli kwa ahadi kwamba, iwapo uchunguzi utafanywa na kubaini kuwa, taarifa ya madini ya dhahabu yanayochimba ...

Read More »

Kuelekea AFCON 2019: Mkude, Ajibu watemwa

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Emmanuel Amunike, ametangaza kikosi cha wachezaji 32 watakaondoka leo kwenda Misri kwa ajiri ya kuweka kambi ya wiki mbili, kujiandaa ...

Read More »

Rais Magufuli ‘aichoka’ TPSF

RAIS John Magufuli ameonesha kutofurahishwa na utendaji kazi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), na kushauri kwamba, kama imeshindwa kutatua changamoto za wafanyabaishara, kianzishwe chombo kingine. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). ...

Read More »

BoT yatuhumiwa mbele ya Rais Magufuli

AMANI Kibondei, Mfanyabiashara wa Ubadilishaji Fedha za Kigeni katika Jiji la Dar es Salaam, ameishtaki Benki Kuu ya Taifa (BoT) kwa Rais John Magufuli, akidai kwamba, baadhi ya maofisa wake ...

Read More »

JPM atoa onyo kwa wafanyabiashara

RAIS John Magufuli amewataka wafanyabiashara kujenga tabia ya kuwa wakweli kwani, wanapokuwa waongo husababisha serikali kuchukua uamuzi ambao pengine huonekana kutokuwa rafiki kwao. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza kwenye kikao ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram