Daily Archives: June 6, 2019

Kiongozi CUF atimkia ACT -Wazalendo

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeendelea kubomoka baada ya Mbaraka Chilumba, aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Vijana wa chama hicho (JUVICUF)-Taifa kutimkia ACT-Wazalendo. Anaripoti Danson Kaijage … (endelea). Chilumba ametangaza ...

Read More »

Lukuvi aagiza taasisi wadaiwa pango la ardhi kukutana naye

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imeagiza taasisi za umma na watu binafsi zaidi 200 zinazodaiwa kodi ya pango la ardhi na malimbikizo ya muda mrefu, kuhudhuria kikao ...

Read More »

Sheikh wa Dodoma ahimiza amani nchini

SHEIKH wa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustapha Rajabu amewataka Watanzania kuishi maisha ya kulinda na kutunza¬† amani. Anaripoti Danson Kaijage … (endelea). Ameyasema¬† hayo wakati akitoa ujumbe wa Sikukuu ...

Read More »

Sakata la Uamsho moto; Masheikh wamvaa JPM, Kikwete, Bunge

JUMUIYA na Taasisi za Kiislam nchini, imeibua upya sakata la masheikh wa Uamsho, waliopo mahabusu kwa takriban miaka sita sasa kwa madai ya kutokamilika ushahidi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram