Daily Archives: June 4, 2019

TCRA wawaburuza wamiliki wa YouTube kinyemela

WATU wanne wakazi wa sehemu tofauti jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu shitaka la kuchapisha maudhui ya YouTube bila ya kuwa na kibali kutoka ...

Read More »

Shahidi mlenga shabaha (Sniper): Sijui kilichomuua Akwelina

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea na usikilizaji wa kesi namba 112 ya mwaka 2018 inayowakabali viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambapo Shahidi wa nne amemaliza ...

Read More »

HESLB  yabadili mwongozo wa utoaji mikopo

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (HESLB) imetangaza mwongozo wa utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo wa 2019/2020. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza ...

Read More »

Serikali kuboresha sera ya mbegu

SERIKALI imesema ina mpango wa kuboresha sera ya mbegu ili kuimarisha suala la upatikanaji wa mbegu kimfumo zitakazowasadia wakulima na kuleta tija katika kilimo nchini. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … ...

Read More »
error: Content is protected !!