Daily Archives: June 1, 2019

Waziri Makamba: Tutabana mianya yote, atakayetoa taarifa Sh. 3 mil

IKIWA leo tarehe 1 Juni 2019 Serikali imeanza utekelezaji wa marufuku ya matumizi ya mifuko ya plastiki, Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba amesema ...

Read More »

Mlenga shabaha (Sniper) atinga kwenye kesi ya viongozi Chadema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza ushahidi wa shahidi wa nne kwenye kesi  inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema), ambapo shahidi amekiri kuwa yeye ni mlenga ...

Read More »

Shahidi nilipigwa jiwe na wafuasi wa Chadema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza ushahidi kwenye kesi ya Uchochezi nambari 112 ya mwaka 2018,  inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema), ambapo mahakama hiyo imesikiliza ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram