Thursday , 28 March 2024

Day: May 22, 2019

Michezo

Madeni ya Simba yakwamisha Bil. 20 za uwekezaji wa MO

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ amesema kuwa madeni ndiyo sababu kuu iliyopelekea pesa za uwekezaji Sh. 20 bilioni...

Habari za Siasa

Upinzani watangaza ‘vita’ mpya

VYAMA vinane vya upinzani nchini, vimedhamiria mambo mawili makubwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa baadaye mwaka huu na uchaguzi mkuu mwakani. Anaripoti Hamisi...

Habari za Siasa

Serikali inatoa majibu mepesi – Mbunge CUF

MBUNGE wa Jimbo la Bumbwini, Muhammed Amour Mohammed (CUF), amesema kuwa serikali imekuwa ikitoa majibu mepesi kwa maswali yanayoulizwa na serikali. Anaripoti Danson Kaijage,...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru: CCM itaongoza zaidi ya miaka 100 ijayo

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally amesema kuwa, chama hicho kitaendelea kuongoza dola kwa zaidi ya miaka 100 ijayo. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mbunge CCM: Serikali inatoa kipaumbele kwa wazinifu 

MBUNGE wa Ulanga, Goodluck Mlinga ameeleza kushangazwa na hatua ya serikali kugawa mipira ya kiume ya kujamii (kondom) kwa wazinifu bure, huku ikishindwa kugawa...

Habari Mchanganyiko

ASAS wagawa maziwa kwa Wabunge kuhamasisha unywaji

WATANZANIA wamehamasishwa kutumia maziwa kwa wingi ili kuweza kutunza afya zao kutokana na kuwa maziwa hayo yanapaikana. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Mrithi wa Nassar akabidhiwa jimbo

MRITHI wa Joshua Nassari katika Jimbo la Arumeru Mashariki, Dk. John Pallangyo, ameapishwa leo tarehe 22 Mei 2019 kuwa mbunge wa jimbo hilo...

error: Content is protected !!