Thursday , 28 March 2024

Day: May 21, 2019

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli atia ‘tumbo joto’ taasisi za serikali

RAIS John Magufuli ameagiza mashirika na taasisi za umma, zitakazoshindwa kupeleka gawio serikalini hadi kufikia Julai mwaka huu, zichukuliwe hatua kwa mujibu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Lugola alikoroga tena, Bunge lamng’ang’ania

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT- Wazalendo), Zitto Zuberi Kabwe, ameituhumu serikali kwa kile alichokiita, “kushindwa au kunyamazia,” vitendo vya ubakaji wanavyofanyiwa wapigakura wake....

Habari za Siasa

TTCL yajitetea mbele ya JPM

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limekinzana na madai kwamba, linatoa gawio kwa serikalini licha ya kujiendesha kwa hasara. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Katika...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yayumba vivutio vya asili

SERIKALI imetaja sababu za Tanzania kushuka kwa nafasi tano, kutoka nafasi ya pili hadi ya nane katika orodha ya nchi zenye vivutio vya...

Habari Mchanganyiko

Mashine za kisasa upimaji ardhi zaletwa

KAMPUNI ya Land Network Ltd ya jijini Dodoma, kwa kushirikiana na kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya upimaji ardhi Kolida ya nchini China,...

Habari za Siasa

Lukuvi amteua Polepole ujumbe Bodi ya NHC

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameteua wajumbe saba wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), akiwemo...

Habari za SiasaTangulizi

Masele: Sijawahi kukurupuka

STEPHEN Masele, Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM) amesema, hajawahi kukurupuka katika kusimamia jambo lolote. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Alitoa kauli hiyo muda mfupi...

error: Content is protected !!