Friday , 19 April 2024

Day: May 17, 2019

Habari za Siasa

Shahidi wa Jamhuri: Nyaraka hizi alisaini Zitto

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeendelea kusikiliza kesi Na. 237/2018 ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama...

Habari Mchanganyiko

Membe, Musiba kukutana Julai 2

MAKAHAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam imepanga tarehe 2 Julai 2019 kutoa uamuzi wa madai ya fidia ya Sh. 10...

Habari za SiasaTangulizi

Membe ‘ampuuza’ Rostam Aziz

BENARD Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa, “amemshutumu” mfanyabiashara na mmoja wa wanasiasa mashuhuri nchini, Rostam Aziz,...

Habari za Siasa

Mbunge CUF adai Ripoti ya Haki za Binadamu, Utawala Bora bungeni

MBUNGE wa Mgogoni, Dk. Suleiman Ally Yusuph amehoji kwa nini ripoti za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania (THBUB) haziwekwi...

ElimuHabari Mchanganyiko

UDOM: China iwe mfano kwetu

CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM), kimewataka Watanzania kuwaiga Wachina katika kuthamini na kudumisha tamaduni ikiwemo lugha ya taifa lao. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

Habari Mchanganyiko

Dk. Abass: Kutekwa watu hakujaanza sasa

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abass amesema kuwa, matukio ya utekaji na kuotea kwa watu hayajaanza ndani ya Serikali ya Awamu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi apiga ‘yowe’ baada ya kubanwa na Wakili

MASHAKA Juma, shahidi wa pili kwenye kesi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameieleza mahakama kuwa, wakili anambana kwenye maswali....

Habari za Siasa

Rais Magufuli ang’oa wakurugenzi wawili wa Halmashauri

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe na Uyui mkoani Tabora. Anaripoti Regina Mkonde …...

error: Content is protected !!