Friday , 29 March 2024

Day: May 15, 2019

Afya

Viongozi wa dini kupambana na Saratani Mlango wa Kizazi

VIONGOZI wa dini kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamie, Jinsia, Wazee na Watoto wanakusudia kufanya kongamano la pamoja kujadili uanzishwaji wa...

Habari za Siasa

Shahidi kesi ya Mbowe: Nilipigwa jiwe, nikazimia

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeendelea kusikiliza kesi namba 112 ya uchochezi, inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na...

Habari Mchanganyiko

Gesi asilia kusambazwa, kupunguza matumizi ya kuni, mkaa

SUBIRA Mgalu, Naibu Waziri wa Nishati amsema, serikali imeanza kutekeleza mradi wa kusambaza gesi asilia katika miji ya Mtwara, Lindi, Pwani na Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri Kabudi ‘ashikwa kooni’ kutema uwaziri

PROFESA Paramagamba Kabudi, aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, ametakiwa kujiuzulu kwa madai ya kushindwa kumshauri vizuri Rais John Magufuli. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

Habari Mchanganyiko

Mwakagenda aitibulia TBC1 bungeni

SHIRIKA la Utangazaji nchini (TBC1), limelalamikiwa kutoa matangazo yake kwa upendeleo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Sofia Mwakagenda, Mbunge wa Viti Maalum (Chadema)...

Habari Mchanganyiko

Maeneo yaliyotwaliwa na JWTZ yameanza kulipwa – Waziri Mwinyi

MBUNGE wa Mtambile, Masoud Salim (CUF) ameihoji Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lini italipa fidia wananchi waliotwaliwa maeneo yao...

Habari Mchanganyiko

TRA yatangaza neema kwa wananchi

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza fursa ya malipo ya asilimia tatu kwa yeyote atakayetoa taarifa sahihi za kufanikisha kukusanywa kodi iliyokwepa na...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi: Sina mahaba na Mbowe

SHABANI Hassani  Shahidi kwenye kesi namba 112 ya mwaka 2018 inayowakabali viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameweka wazi kuwa hana...

error: Content is protected !!