Friday , 29 March 2024

Day: May 14, 2019

Habari Mchanganyiko

Makabila mchanganyiko kikwazo cha usafi Dar – Meya Moshi

MEYA wa Halmashauri ya Mji Moshi, Raymond Mboya amesema, mchanganyiko wa makabila katika Jiji la Dar es Salaam ni miongoni mwa vikwazo katika...

Habari za Siasa

Prof. Assad: Inapaswa kusimamia misingi ya kazi

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad amesema, maofisa wanatakiwa kufanya kazi kwa kujiamini pia kujibu hoja kwa...

Elimu

Rais Mkapa ateuliwa tena kuwa Mkuu wa UDOM

RAIS John Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Anaripoti Regina Mkonde...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi ‘fundi magrili’ amng’ang’ania Mbowe, Matiko, Mdee kuhusika

LEO tarehe 14 Mei 2019, shahidi wa pili upande wa serikali kwenye kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Chadema, ametoa ushahidi wake. Jopo...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo wamshangaa AG

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeshangazwa na hatua ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kupinga hukumu ya Mahakama Kuu iliyobatilisha wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Anaripoti Regina...

Habari Mchanganyiko

Makonda: Serikali imetenga Bil 200 ujenzi miundombinu

SERIKALI ya Tanzania, imetenga jumla ya shilingi 200 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu kuzunguka Mto Msimbazi, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

Serikali kutoa ruzuku kwa halmashauri

SERIKALI imesema, inaendelea kutoa ruzuku ya maendeleo kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuziwezesha kutekeleza miradi ya maendeleo katika sekta mbalimbali zikiwemo afya...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe alishika mawe, kushambulia polisi – Shahidi

SHAHIDI wa upande wa mashitaka katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amedai kuwa kiongozi huyo alibeba...

Habari za SiasaTangulizi

Kibano: Shahidi Serikali Vs Mawakili wa Mbowe, wenzake

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu inaendele na usikilizwaji wa kesi namba 112, ya mwaka 2018, inayowakabili viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na...

error: Content is protected !!