Friday , 29 March 2024

Day: May 11, 2019

Habari za SiasaTangulizi

Freeman Mbowe, Zitto Kabwe kuiteka Kisutu wiki nzima

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu itaendelea na usikilizaji wa kesi  za uchochezi zinazowakabili viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na...

Afya

Watu 1,000 waugua Dengue Dar

WATU takribani 1,000 wameugua ugonjwa wa Dengue Jijini Dar es Salaam kuanzia mwezi Januari hadi mwezi Mei 2019. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za Siasa

Madiwani wawachongea wezi wa mapato ya mazao

MADIWANI wa Halmashauri ya wilaya ya Chamwino, Dodoma wamemuomba  Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, Athumani Masasi, kuwachukulia hatua za kinidhamu watumishi wanaoibia mapato...

Kimataifa

Rais wa Nigeria ashitakiwa mahakamani

SERIKALI ya Nigeria imemshitaki aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Goodluck Jonathan katika Mahakama ya Biashara ya London, kwa tuhuma za kupokea rushwa kutoka...

error: Content is protected !!